Hasikudanganye mtu kwa population ya mjini na miji midogo yote Tanzania wanajua kinachoendelea kupitia social Media. Simu janja nowadays ni Kama hitaji la lazima kwa maisha ya Sasa.
Nadhani strategy iwe ni kuifikia jamii ya vijijini ambayo kidogo inachangamoto ya kufikiwa.

Simu janja nyingi ila wanaofatilia siasa kwa vibando uchwara kupitia smart wachache sana , zaidi wataangalia tu short clips , uwezo wa kuangalia kampeni full kama kwenye tv ni wachache sana wanaweza