GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na Algeria.
Kama juzi tu kwa Mkapa walikuwepo Waarabu Kumi ( 10 ) tu ila Shughuli yao Kiushangiliaji tuliiona kwa Kuwanyamazisha Mazuzu FC 60,000 walioujaza Uwanja je, wakiwa Kwao nchini Algeria katika Uwanja wao unaoingiza jumla ya Mashabiki 17,000 tu itakuwaje Siku hiyo?
Anzeni kujiandaa Kisaikolojia mapema sana kwani Mwarabu akiona Kombe liko katika Ardhi yake halafu wanaotaka Kulibeba ni Waswahili (Ngozi Nyeusi) watafanya Fitina za kila aina na hata Refa (Mwamuzi) watamuweka Mfukoni na kujikuta mnafungwa Goli 7 huku 85% ya Wachezaji wenu wamepewa Kadi za Njano na mkizidi kujifanya Wajuaji Mmoja wenu anapewa Kadi Nyekundu.
Nawashangaa Mazuzu FC mnaojipa Moyo bila hata ya Aibu kuwa mnaenda Kupindua Meza (Kushinda) Kwao nchini Algeria mkisindikizwa na Historia (Kumbukumbu) mliyonayo Vichwani mwenu kuwa kama mmemfunga Kwao Club Africaine ya nchini Tunisia na Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini basi hata Kwao USM Alger FC nchini Algeria mtafanya hivyo hivyo.