Kama Waarabu wanaiba wanyamapori kupitia viwanja vya ndege, huko bandarini wataiba kiasi gani?

Kama Waarabu wanaiba wanyamapori kupitia viwanja vya ndege, huko bandarini wataiba kiasi gani?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Waarabu awamu ya nne walikuwa wanajipimia kila walichokipenda kupeleka kwao uarabuni.

Madege makubwa ya mizigo yalisomba kila aina ya raslimali kwenda kwao uarabuni.

Watanzania walipiga kelele lkn kwa kuwa waarabu walikuwa na kiburi juu ya utawala uliokuwepo hawakujali waliendelea kusomba.

Nawaza tu huko bandarini wataiba kiasi gani?

Watakuwa wanaendoka na twiga mia moja wanarudi na wapiganaji wa jihadi.

Watakuwa wanaondoka na madini wanarudi na tende.

Nani anayetuharibia nchi yetu?

Kwanini waarabu wanauziwa nchi na sisi tupo kushangilia!
 
Hata binadamu watapelekwa utumwani huko uarabuni. Naulaani huu Muungano!😎
 
Mpaka sasa ilitakiwa tuwe tuko barabarani tukikabiliana na FFU maana kama ni ujuha huu umezidi
 
Back
Top Bottom