Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

nashicha

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
279
Reaction score
524
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
 
Wanajamii bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka kwahili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia...
Hafai kwa sababu zipi??
 
Kwani kampeni zimeanza? Kila siku bunge dhaifu ila mmeshindwa kufikia huko. Tuheshimu waliotutangulia na wenye nacho. Kwa lugha nyepesi upinzani uheshimu CCM maana ndio wanaowapa tonge na CCM hao hao ndio roho ya wananchi
 
Imagine huyu ni mchungaji anajipendekeza kwa wanadamu ili kuiona kesho yake.Mungu kwake ni bosheni tu,Mungu kwake ni boresha tu.
 
Hivi kumbe bado kuna watu wanalifuatilia na kulichukulia serious Bunge!
 
Sidhani kama huyo ni Chadema kwamba itakuwa imefufuka nakumbuka ilijifia tangu enzi za JPM
Angalia makala zake na comments zilizopita zinajitanabaisha ni chadema
 
Yule wa Mlimba,ambae aliwahi kuwa mkurugenzi Dodoma ni mtu wa misimamo kwa maslahi ya Tz
 
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa...
Mwaka 2030 huenda jina la mgombea urais likapatikana kwa mtindo huu huu. Mbeleni demokrasia itakuwa finyu zaidi kuliko tulikotoka.
 
Back
Top Bottom