Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.

Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.

Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.

Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Wamkatae Dk. Tulia ili wamchague mamaako?
 
Sisiemu ipi labda unaizungumzia?😂😂😂😂
 
Wewe ndo unaonekana mtu wa ajabu kuwahi kutokea duniani. Malengo ya chama cha Siasa Ni kushika dola. Ukimwona Mbowe Leo , Lissu wanasema tulimpokea Lowassa kwa kuwa nia yetu ilikuwa Ni kutaka kuwaondoa CCM tu, hawakusema kuwa nia yao Mwananchi kwanza.

Tulia Ni CCM. Na Sijui wewe una kipimo gani cha kumpima Tulia kwa sifa za Uspika, wao wameona anafaa. Na hiyo Pia Ni Strategie kwenye Siasa . Ndo mana utaona MBowe anachaguliwa tu kama Mwenyekiti toka kuumbwa kwa CHadema. Ndo Siasa. Unadhani Trump Kwanini walishindwa kumtundika, Republikaner walikuwa majority. Na je uchaguzi uliporudi, still walimteua Trump kuwa mgombea wao. Utakuwa mbunge mpumbavu sana kama uspojua Hilo kwenye Siasa.

Watoto punguzeni kuwapangia wenzenu wakati nyie hampendi kupangiwa. After all kwani Spika kazi yake nini.
 
Ishi maisha yako usifatilie upuuzi wa bunge maisha yatakuwa kawaida kwako. Eti kisa tulia mwanamke ndo apewe uspika? Siku zote bunge linaendeshwa kwa kupewa maelekezo cha kufanya. Ila bora ya ndugai.

Waafrika hatuna tabia za kuwajibika pale tunapokosea, sasa jiulize ilikuwaje ndugai akajihuzuru? Alikwepa fedhea maana wale watu walotumwa wamfosi aachie ngazi ni maelekezo kutoka juu.
Utamfanya nini mwenye madaraka yake? Ana kauli za ajabu sana, bora angekuwa anabaki nazo moyoni.

Mtu anasema mchana kweupe eti fulani asigombee afu anajiita mwana demokrasia kha!

Eti anawaambia wananchi, nani kasema sitogombea? Mapema hivi ashawaza kugombea tena?
Mnavyomsifia sasa bure kabisa. Hii katiba mbovu kweli.
Miaka 7 ilopita nilisoma hii katiba nikasemba mbona ya kipuuzi sana? Sikujali coz niliona inaendana na akili za kiafrika.

Juzi tu ndo niliona katiba hii ni ya ajabu sana. Yaani mtu analala usingizi kuamka asubuhi katiba inamuita amka njoo ukae hapo ki laini laina anza kushusha order kha.
Wamkatae wateme ugali?😁😁
 
Back
Top Bottom