Kama Wabunge wa CCM hawapangiwi, waanze na hili la Dkt. Tulia

Wamkatae Dk. Tulia ili wamchague mamaako?
 
Sisiemu ipi labda unaizungumzia?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Wewe ndo unaonekana mtu wa ajabu kuwahi kutokea duniani. Malengo ya chama cha Siasa Ni kushika dola. Ukimwona Mbowe Leo , Lissu wanasema tulimpokea Lowassa kwa kuwa nia yetu ilikuwa Ni kutaka kuwaondoa CCM tu, hawakusema kuwa nia yao Mwananchi kwanza.

Tulia Ni CCM. Na Sijui wewe una kipimo gani cha kumpima Tulia kwa sifa za Uspika, wao wameona anafaa. Na hiyo Pia Ni Strategie kwenye Siasa . Ndo mana utaona MBowe anachaguliwa tu kama Mwenyekiti toka kuumbwa kwa CHadema. Ndo Siasa. Unadhani Trump Kwanini walishindwa kumtundika, Republikaner walikuwa majority. Na je uchaguzi uliporudi, still walimteua Trump kuwa mgombea wao. Utakuwa mbunge mpumbavu sana kama uspojua Hilo kwenye Siasa.

Watoto punguzeni kuwapangia wenzenu wakati nyie hampendi kupangiwa. After all kwani Spika kazi yake nini.
 
Wamkatae wateme ugali?😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…