Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu.
Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili
Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu mnayo tena ya 'Hadhi' zenu kabisa huku Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' kumetokea wapi?
Yaani Mimi Generalist ( Mnyonge na Choka Mbaya ) nipande 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena za Tsh 500/= ( na Siku zingine hadi nakopa ) na nyie pia Mnaolipwa 'Mamilioni' mpande? Acheni Kujiaibisha!!
Sababu ni hizi!
Kuwahi, ili wasijulikane walipo kirahisi, umalaya ili wanase mabinti kirahisi bila skendo, uchelewaji ili kuwahi faster!
Halafu spika kusema boda si salama inamaana SISI WANANCHI TUNAOPANDA KILA SIKU HATUNA MAANA AU SIYO?
Ma viieite hayaingii "chocho" mkuu,hayapigi no render,hayapigi u-turn in case of "kufumaniwa" tuk-tuk hazina utambulisho,hivyo ni rahisi na salama zaidi kuzamia nazo chimbo.