johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi.
Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na Roho wasilipwe mishahara na Serikali?
Wasajiliwe wote waingizwe kwenye payroll halafu exemption ya Kodi Kwenye Taasisi za Dini iondolewe.
Nawatakia Dominica njema 😀
Soma pia: Sheikh Ibrahim Bombo: Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya