johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uongozi wa dini si ajira rasmi kikatiba ,kisheriaWabunge wetu Wana Shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, kilimo nk lakini wanalipwa mishahara minono na serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi
Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na roho wasilipwe mishahara na serikali?
Wasajaliwe wote waingizwe kwenye payroll halafu exemption ya Kodi Kwenye Taasisi za Dini iondolewe
Nawatakia Dominica njema π
Kwani Ubunge ni Ajira rasmi?πΌUongozi wa dini si ajira rasmi kikatiba ,kisheria
Posho na mishahara ya wabunge ni kuitia hasara serikali hawana mchango wowote kwa taifa hawa watu na wanatumia pesa nyingi sanaMshahara kwa mbunge ni wizi kamili.Wanalipwa mishahara kwa kazi ipi?
Inatambulika kikatiba na kisheria , ndio maana ina ukomo wakeKwani Ubunge ni Ajira rasmi?πΌ
Mishahara na posho za wabunge ndizo zinawapotosha wataalamu wengi na kutamani kuwa wabunge.Wabunge walipaswa kupata posho tu ya laki saba kwa mwezi na kusiwe na kiiunua mgongo.Hivi,Lukuvi wa Ismani Iringa ameshapokea viinua mgongo vingapi vya bunge?This is nonsense!Posho na mishahara ya wabunge ni kuitia hasara serikali hawana mchango wowote kwa taifa hawa watu na wanatumia pesa nyingi sana
Wabunge wameajiriwa na nani? πΌInatambulika kikatiba na kisheria , ndio maana ina ukomo wake
Narudia tena wanachaguliwa na baada ya hapo wanapokea stahiki zao, na nafasi zao ziko kisheria na kikatiba.Wabunge wameajiriwa na nani? πΌ
Hili ni la msingi sana. Kila mtanzania awe na haki ya kujikimu - hivyo mtu anapokuwa hajajiajiri na hajaajiriwa, alipwe japo kima cha chini cha mshahara.Wananchi wasio na kazi walipwe pia.
Single mothers wajane walipwe nao mishahara kulingana na idadi ya watoto.
Kheeee..!!!This is very low kutoka kwako. Mtu halipwi mshahara kwa sababu ya kutokuwa au kuwa na biashara binafsi. Unalipwa mshahara kwa vile yule anayekulipa unamfanyia kazi yake..!!Wabunge wetu Wana Shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, kilimo nk lakini wanalipwa mishahara minono na serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi
Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na roho wasilipwe mishahara na serikali?
Wasajaliwe wote waingizwe kwenye payroll halafu exemption ya Kodi Kwenye Taasisi za Dini iondolewe
Nawatakia Dominica njema π
Hujaelewa mada πΌKheeee..!!!This is very low kutoka kwako. Mtu halipwi mshahara kwa sababu ya kutokuwa au kuwa na biashara binafsi. Unalipwa mshahara kwa vile yule anayekulipa unamfanyia kazi yake..!!
Kwa mtazamo wako, maana yake;
1. Wenye shule binafsi nao walipwe mishahara na serikali
2. Wenye hospitali binafsi nao walipwe mishahara na serikali
3. Wenye vyuo binafsi nao walipwe mishahara na serikali
4. Wanaoshughurika na usafirishaji wa abiria na mizigo nao walipwe mishahara na serikali
5. Wenye viwanda binafsi nao walipwe mishahara na serikali
Sahihi Kabisa katika kudumisha AmaniHili ni la msingi sana. Kila mtanzania awe na haki ya kujikimu - hivyo mtu anapokuwa hajajiajiri na hajaajiriwa, alipwe japo kima cha chini cha mshahara.
Wewe ulimzoea mchungaji Msigwa so umekaririSasa hivi hawalipwi LAKINI wako Loyal Hadi wanashindwa kuhoji Mambo ya msingi, siku wakilipwa si ndio watageuka kuwa kama watumishi.? Stupidity of highest level