Kama Wabunge wanalipwa Mishahara sioni kwanini Viongozi wa Dini wasilipwe Mishahara na Serikali. Nakubaliana na Shehe Bombo

Hiyo exemption ya Kodi kwa taasisi za dini kaisema?..kwa nini hamjadili hiyo?!..maana taasisi za dini kazi kuchukua tu,wamenona Kama nguruwe mzazi wakati wafuasi wanafubaa tu,Kodi hawatoi,ruzuku wanakula,sadaka fungu la kumi wanakula,hawana hata huruma
 
Exemption hajazungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…