kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,742
Nimepita kwenye Blog moja hapa nchini nimekutana na picha ya Mh. Shy Rose Bhanji ambayo nahisi imepostiwa na yeye Mwenyewe kitu ambacho kimenisikitisha kulingana na mavazi aliyovaa ambayo hayaendani na hadhi yake na inanirudisha nyuma juu ya mtafaruku uliotokea katika ule uchaguzi wa CWT na Sophia Simba na maneno mengi yalizungumzwa wakati huo na hii inajionyesha Huyu Mh. ajiheshimu kabisa kwani heshima uanzia na muonekano wa kimavazi na matendo baadae.

Ili kupata kilichomuhusu katika post hiyo bofya Link hii hapa chini
SHY-ROSE BHANJI AFUNGUKA LEO NDIO MARA YA KWANZA ~ Hassbaby's (Mapacha)

Ili kupata kilichomuhusu katika post hiyo bofya Link hii hapa chini
SHY-ROSE BHANJI AFUNGUKA LEO NDIO MARA YA KWANZA ~ Hassbaby's (Mapacha)