Kama Wabunge wetu ndiyo wako hivi tutegemee nini kwa Taifa letu

Kama Wabunge wetu ndiyo wako hivi tutegemee nini kwa Taifa letu

Hivi huyu shyrose ana mume? Amekaa vizuri kweli ila usoni anaonekana ka umri kameenda. Na pia mwenye kujua umri wake anijuze.
Regards.
 
Ni wa CCM



Hapa tunachozungumzia ni Utanzania na ni Mbunge anayeiwakilisha Tanzania kama ni kuleta na kuendekeza mila za Kihindi ni vyema angeishi huko kwao na kuvaa mavazi yanayoendana na Mila zao.



Tunachoangalia hapa yeye kuonyesha hicho kiuno chake na kitovu ambacho wamekiona wengi zaidi yangu mimi na wewe je wewe unaona ni sawa kwa mtu ambae alitakiwa kuwa kioo cha jamii kama kiongozi kupost picha kama hiyo?

Kwani unadhani wabunge hawana vitovu? Mbona wengine wanashinda na kulala club hamusemi kuwa ni utovu wa nidhamu?
 
Back
Top Bottom