evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hivi huyu shyrose ana mume? Amekaa vizuri kweli ila usoni anaonekana ka umri kameenda. Na pia mwenye kujua umri wake anijuze.
Regards.
Regards.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera, unajua ku analyse ujingaMzee hilo vazi lina makosa gani ?Kavaa wapi ? Kama si mjengoni hakuna shida .Mbunge ni mtu pia.Huyu ni mhindi na wahindi wanavaa hivyo unataka nini ?
Ni wa CCM
Hapa tunachozungumzia ni Utanzania na ni Mbunge anayeiwakilisha Tanzania kama ni kuleta na kuendekeza mila za Kihindi ni vyema angeishi huko kwao na kuvaa mavazi yanayoendana na Mila zao.
Tunachoangalia hapa yeye kuonyesha hicho kiuno chake na kitovu ambacho wamekiona wengi zaidi yangu mimi na wewe je wewe unaona ni sawa kwa mtu ambae alitakiwa kuwa kioo cha jamii kama kiongozi kupost picha kama hiyo?