Kama Wabunge wetu ndiyo wako hivi tutegemee nini kwa Taifa letu

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,742
Nimepita kwenye Blog moja hapa nchini nimekutana na picha ya Mh. Shy Rose Bhanji ambayo nahisi imepostiwa na yeye Mwenyewe kitu ambacho kimenisikitisha kulingana na mavazi aliyovaa ambayo hayaendani na hadhi yake na inanirudisha nyuma juu ya mtafaruku uliotokea katika ule uchaguzi wa CWT na Sophia Simba na maneno mengi yalizungumzwa wakati huo na hii inajionyesha Huyu Mh. ajiheshimu kabisa kwani heshima uanzia na muonekano wa kimavazi na matendo baadae.



Ili kupata kilichomuhusu katika post hiyo bofya Link hii hapa chini

SHY-ROSE BHANJI AFUNGUKA LEO NDIO MARA YA KWANZA ~ Hassbaby's (Mapacha)
 
Mmmmhu!!! Muhindi mwenye asili ya TANZANIA. Nchi imeuzwa siku nyingi, sasa kwanini ktk miaka 10 ijayo TEJA asiwe RAIS!!!
 
Hiyo picha ina uhusiano gani wa moja kwa.moja na.status yake huko alikoipost??????!!!!!!

Mwisho mtataka aoge na nguo!!!!
 
Waziri Mashaallah, jamani kitu muashock, hewani sekunde mpaka msoldier amedata.
 
Mzee hilo vazi lina makosa gani ?Kavaa wapi ? Kama si mjengoni hakuna shida .Mbunge ni mtu pia.Huyu ni mhindi na wahindi wanavaa hivyo unataka nini ?
.. Lunyungu ... kibogo


A traditional north Indian style sari. The figure-flattering sari can be counted amongst the most graceful dresses

 
Last edited by a moderator:
ni wa chama gani?

Ni wa CCM

Mzee hilo vazi lina makosa gani ?Kavaa wapi ? Kama si mjengoni hakuna shida .Mbunge ni mtu pia.Huyu ni mhindi na wahindi wanavaa hivyo unataka nini ?

Hapa tunachozungumzia ni Utanzania na ni Mbunge anayeiwakilisha Tanzania kama ni kuleta na kuendekeza mila za Kihindi ni vyema angeishi huko kwao na kuvaa mavazi yanayoendana na Mila zao.

Hiyo picha ina uhusiano gani wa moja kwa.moja na.status yake huko alikoipost??????!!!!!!

Mwisho mtataka aoge na nguo!!!!

Tunachoangalia hapa yeye kuonyesha hicho kiuno chake na kitovu ambacho wamekiona wengi zaidi yangu mimi na wewe je wewe unaona ni sawa kwa mtu ambae alitakiwa kuwa kioo cha jamii kama kiongozi kupost picha kama hiyo?
 
Sophia Simba ameanza tena kampeni yake dhidi ya huyu dada?
 
MI NAONA POA TU,,ZOTE SWAGA ,,HATA KENYA WAPO
Mbuvi Gidion Kioko Mike Sonko commonly known as Mike Sonko or simply Sonko, is the immediate former Member of Parliament for Makadara Constituency, Kenya. He was elected on September 20, 2010 in a by-election
 

Attachments

  • 1.jpg
    7.8 KB · Views: 334
  • images 2.jpg
    9.4 KB · Views: 1,191
  • images.jpg
    6.8 KB · Views: 337
Kazi kweli kweli! Mmemchagua rais kwa kuangalia sura na bado hamjajifunza looks cant get you nowhere!
 
Mzee hilo vazi lina makosa gani ?Kavaa wapi ? Kama si mjengoni hakuna shida .Mbunge ni mtu pia.Huyu ni mhindi na wahindi wanavaa hivyo unataka nini ?

hilo vazi ni vazi la heshima kabisa la kihindi, na kukazia point yako mkuu shy rose ni mhindi wa kikurya!
 
hilo vazi ni vazi la heshima kabisa la kihindi, na kukazia point yako mkuu shy rose ni mhindi wa kikurya!

Baba yao alikuwa Muhindi koko huko Mwanza,.Alikuwa anafanya kazi Tanganyika Bus.Nyumba waliokuwa wanaishi ilikuwa jirani na shule ya msingi pamba [sasa hivi secondari].Mama yao alikuwa anauza vitindi vya miwa mbele ya hiyo nyumba[ ni maswahili pure].
Kaka yake mkubwa alikuwa baharia enzi zilee[jina nimelisahau],kaka mwingine Bob Arch Sialo Bonge la mvuta bangi[ ,sijui kama kichwa yake ipo sawa mapaka leo] ..

Pamoja na hayo Huyu dada ni bonge la mpiganaji sijapata kuona, ni mwanamke imara.
Kwa kivazi hicho ndio vile tena shujaa haachi asili Unashangaa nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…