Kama wafanyabiashara wamekubali Je kuna nini tena kilichobaki?

Kama wafanyabiashara wamekubali Je kuna nini tena kilichobaki?

20250823_154242.jpg
 
Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe.

Hakika Mama anazidi kutufikia.
watakao kuwa wa kwanza kusulubiwa , to face firing squard ni wafayabiashara likitokea la kutokea mnavyojitangaza hivyo. 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀🙄😳
 
Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe.

Hakika Mama anazidi kutufikia.
Tofautisha kati ya wafanyabiashara na mafisadi/wapiga dili.
Wafanyabiashara huko mtaani hali siyo nzuri kivile kutokana na mdodoro wa mzunguko. Hao wasiokuwa na deni ni mafisadi/wapiga dili wazoefu.
 
Back
Top Bottom