Kama wafanyabiashara wamekubali Je kuna nini tena kilichobaki?

Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe.

Hakika Mama anazidi kutufikia.
watakao kuwa wa kwanza kusulubiwa , to face firing squard ni wafayabiashara likitokea la kutokea mnavyojitangaza hivyo. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€πŸ™„πŸ˜³
 
watakao kuwa wa kwanza kusulubiwa , to face firing squard ni wafayabiashara likitokea la kutokea mnavyojitangaza hivyo. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€πŸ™„πŸ˜³
Mama hana deni
 
Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe.

Hakika Mama anazidi kutufikia.
Tofautisha kati ya wafanyabiashara na mafisadi/wapiga dili.
Wafanyabiashara huko mtaani hali siyo nzuri kivile kutokana na mdodoro wa mzunguko. Hao wasiokuwa na deni ni mafisadi/wapiga dili wazoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…