Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe

Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe

Kosa kubwa ninalolaani ni lile la kunyanganya simu ya mwandishi mmoja wa habari na kufuta kila kilcokuwamo. Ina maana hakutaka ajulikane kuwa walienda kuwapoke na hapo nmdipo anpodhihirisha kuwa hakuwa na nia njema. Kitendo cha kunyangaya simu ya mwandihsi kingeweza kusababisha tafrani na uvunjaji wa amani
Mpira unachezwa uwanjani hata wewe ungekuwa nje na timu ya Taifa lako inakuja ni wazi ungependa kuonana nao
 
Manara mwenyewe alishasema kuwa huko utopolo wenye akili ni wawili tu.Manara na hao wenzake wanaolalamika waache ushamba naona bado wanaishi kwenye nyakati za ujima.Na yule dogo anavyokupelekesheni keshakupeni amri kesho mwende uwanjani mmejipodoa kwa bleach kama Defao,
 
Manara ana roho mbaya sana yule mzungu wa pale johari rotana hampigi miti vizuri maana ndio anayempa jeuri.
 
Back
Top Bottom