Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe

Mpira unachezwa uwanjani hata wewe ungekuwa nje na timu ya Taifa lako inakuja ni wazi ungependa kuonana nao
 
Manara mwenyewe alishasema kuwa huko utopolo wenye akili ni wawili tu.Manara na hao wenzake wanaolalamika waache ushamba naona bado wanaishi kwenye nyakati za ujima.Na yule dogo anavyokupelekesheni keshakupeni amri kesho mwende uwanjani mmejipodoa kwa bleach kama Defao,
 
Jitu linavuta embassy litakuwa na akili hilo?
 
Manara ana roho mbaya sana yule mzungu wa pale johari rotana hampigi miti vizuri maana ndio anayempa jeuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…