chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Mzee wetu wa heshima Mbowe, wakati anatoa hotuba yake ya kuachia uongozi, aliwasihi anaowakabidhi waunde kamati ya upatanisho baada ya kuchafuana sana ndani ya chama hicho wakati wa uchaguzi.
Hawa watu wanaosemeana uongo na kuchafuana kiasi hicho, wanaishia kusema uongo ndani ya chama tu?Hapana.... Hata kwenye mambo ya nje ya chama.
Tuliona walivyomchafua Lowassa.... Baadae wakamchukua, Sumaye, Slaa yeye uongo wake aliuandika kabisa kwenye kitabu.
Watu hawa wanaozushiana uongo wanaaminikaje pale wanapoisema CCM.
Mpaka leo hawajatoa mkataba wa upangaji wa Mchome huko Masaki wala namba ya nyumba. Uongo kila mahali, hovyo kabisa, hovyo kabisa, hovyo sana