Kama Wale Jamaa Wanajiita Next Level, Al Ahly Wanaocheza na Bayern Munich Wajiiteje?

Naangalia game ya Al Ahly Vs Bayern Munich muda huu. Jamaa wanaupiga aisee, hii ndo Next level Yenyewe sio ile inayodroo hadi na Azam.
Na Kidimbwi FC iliyopigwa kimoko na timu ya daraja la kwanza tuiweke kundi gani?
 
Mikia fc wanaandika kwenye jezi zao "visit Tanzania" unamwambia mwafrika mwenye njaa apo Congo,malawi, Zimbabwe,Chad Nigeria,kenya ..aje kutembelea Tanzania wakati hata huko alipo anaunga maisha
Kweli mkia ni mkia tu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kidimbwi mnadhani Klabu Bingwa Barani Afrika, inafuatilia Afrika tu, angalia Channel zinazorushwa kwanza ni za nchi gani..ndo utafahamu

Ushamba kweli mzigo.
 
Wewe Kidimbwi kua muelewa.
Klabu bingwa Africa inatizamwa kote ulimwenguni.
Alafu pale kwenye jezi pameandikwa"Visit Tanzania"
 
Leo ute wanatoka wanaenda kuchezea kipimo kipya cha covid
 
Mashabiki wa kidimbwi kweli ni manyani, ko hiyo ndo tafsiri yako ya next level?
 
Naangalia game ya Al Ahly Vs Bayern Munich muda huu. Jamaa wanaupiga aisee, hii ndo Next level yenyewe sio ile inayodroo hadi na Azam.
Unapaswa kujua maana ya Next level kwanza. So far Azam yuko vizuri next time lazima tumualike Simba Super Cup.

Na tulivyo next level tutakipiga na Al Ahly sasa😂😂😂 Na Wale wa nyuma mwiko mtakipiga na Wenzenu
 
Unafikiri Congo wote wana njaa au Nigeria au kina Dangote ba katumbu wanetokeà wapi
 
Wewe Kidimbwi kua muelewa.
Klabu bingwa Africa inatizamwa kote ulimwenguni.
Alafu pale kwenye jezi pameandikwa"Visit Tanzania"
Tangu lini uongozi wa mkia fc wakawa akili za kutafuta watalii? Uyo dada wa kihindi kawaona majuha tu eti Visit Tanzania wakati ligi yenyewe Haina mvuto wowote halafu nani kakudanganya wazungu wanafuatilia utopolo wenu? Nyie mmelenga watalii wa kimataifa au Africa? Wizara ya utalii Imekosa ubunifu mwingine wa kuvuta watalii hadi watumie hii mikia fc?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nipe idadi ya watalii kutoka huko Congo waliokuja hapa bongo..
Huu ni uwekezaji wa kipuuzi sana.


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kitu gani kinakusumbua Simba inashiriki michuano mikubwa Africa i nayoangaliwa na maelfu ya watu toka mataifa tofauti
Nipe idadi ya watalii kutoka huko Congo waliokuja hapa bongo..
Huu ni uwekezaji wa kipuuzi sana.


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Jadi uwekezaji ukuume umetoa shilingi ngapi
 
ni kweli nimeangalia game ya al ahly, hawa jamaa hata wangukua wanacheza uengereza basi kwene top 8 wangekuwemo, kiufupi simba wasipokua makini huenda wakarudi kwa basi huko egypt
 
Hao ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu fc! Wakati wa mechi zao za nyumbani, itawabidi mashabiki wao wafanyiwe upekuzi wa kina na watu wa usalama!

Kama Taifa hatuwezi kuendelea kuaibishwa na hawa mashabiki mbumbumbu wanao wanga uwanjani wakati mechi ikiendelea kwa kutumia mapaka, mijusi, kenge, makunguru, nyuki, matunguri, na kila aina ya uchawi!
 
Nyie ndiyo maana mnafabanishwa na nyani na mbwa mnabweka bweka na kuzomea tu hamna mjualo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…