Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

sio Israel tu, Congo wanateseka, somalia wanateseka, nenda hapo nigeria, mali. watu wanapambana maana mambo mengine Mungu katuachia tudeal nayo.
 
Kwani ku eliminate threat hakuhusishi kuua?
 
Kwani,uliwahi kupatwa na karma au umeandika kwa kadiri ya ranges zako za 9/10 na 10/10?Leo umeandika hisia bila uhalisia mwana TSJ.
Mimi mleta mada nimemwelewa mfano mtu ili anyongwe kwanza huhukumiwa na mahakama ndio hutoa amri ya kunyonga

Kisha mtu hupelekwa kwa mnyongqji ambaye huwa hata hana haja kuangalia sijui huyo mtu alikuwa na shida gani yeye kazi yake kunyonga tu

Sasa albadiri akisomewa mnyongaji yaweza isimpate.Yeye mtekelezaji tu asiyetakiwa kuhoji chochote na aweza kuwa hajui chochote yeye ni kutii amri tu

Eliminator hahitaji kujua undani ni kutii amri tu
 
Ingekuwa hivyo yule jamaa aliyeagiza TL apigwe angekuwa hai

Haya mambo yanafanya Kazi vzr
 
never ever hakuna kitu cha namna hii
 
Swali la kizushi tu kaka Paskali; wewe kama mtaalamu wa sheria na mwana habari nguli tena za uchunguzi..., ni kweli kwamba huwajui WAUAJI? Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Hivi chadema hawakuhusika kweli hii ishu ili kumchafua mama?? Au baadhi ya viongozi wa ccm wenye nia mbaya na mama??

Jaribuni kutafakari upya, kuna kitu hapa kinafichwa
 
Mungu atawahukumu hao 'wasiojulikana' / " wasiojulikana" na aliyewatuma.
 
vipi uchawi juu ya marekani mkuu?
 
Asante kwa kutupa uzoefu
 

Ndio maana nimesema kama waliofanya ukatili huu ni watu "wasiojulikana" then karma na Albadir itawahusu lakini kama ni 'wasiojulikana', karma wala Albadir haiwahusu!.
Ndugu, unazunguruka mule mule tu, hata haueleweki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…