Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna kitu kama hichoKwahyo mkuu swala la eliminating, ukipewa order ya kuua mtoto au mke au mzazi unaua kwavile ni maelekezo?
Mtoto wa wasiojulikana ameleta somo ushahidi Ukiwa Yeye mwenyewe!!Duh
Huu Uzi ni dhahiri kisomo Cha Tanga kimeanza kufanya KAZI
Kama si kuuwawa Ally Mohamed Kibao Elimu hii nyeti yenye ushuhuda wa " dingi" tungeipata Wapi?
Mungu wa mbinguni ana njia zake za kuleta habari
Mungu wa mbinguni mbariki Pascal Mayalla 🌹
Kibiblia kabisa 🌹Mtoto wa wasiojulikana ameleta somo ushahidi Ukiwa Yeye mwenyewe!!
Mara paap umeingizwa kwenye ile list kwa kutoa siri,Wanabodi,
Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote.
Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na utendaji kazi wa Albadir ambayo inafuata kanuni ya karma.
Je wajua kama walioua ni "wasiojulikana", then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'wasiojulikana', then hata Albadir haiwezi kusaisaidia kitu, kwasababu wauaji hao ni walikuwa wametimiza tuu wajibu wao!.
Kama wauawaji hao ni watu "Wasiojulikana", then karma na Albadir itawahusu, na watalipwa kwa matendo yao na uovu wao, lakini kama waliofanya mauaji hayo ni watu 'wasiojulikana', then sio karma wala Albadir inaweza kuwafanya chocolate, kwasababu walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao!.
Naomba kujitambulisha tena na tena ili kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu utendaji kazi wa kitu kinachoitwa "the operatives", mimi nimezaliwa na wazazi wangu wote wawili, baba na mama, wote ni waserekali.
Serikali zote duniani zina utaratibu wake wa kufanya kitu kinachoitwa "elimination" of dissidents. Ile mwaka 1976 kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza, Mzee wangu alihusika na mimi kuzishuhudia baadhi ya zana za kazi baba akirudi nazo usiku mkubwa. Nawaomba mkisikia baadhi ya maofisa wa jeshi, polisi na usalama wa Taifa wanakuwa walevi wa kutupa, wasameheni tuu, kwa mambo wanayoyapitia kazini, baada ya kustaafu yanakuja kuwa hunt, sasa ili kujisahaulisha, kunapelekea most of the times wawe wako bwii!.
Hivyo kuna watu wanaajiriwa na kupewa mafunzo rasmi ya elimination. Majeshi yote yana watu hawa, wanaitwa wadunguaji, snipers, hivyo hata mimi nikiwa jeshini JKT Makutopora kwa mujibu wa sheria, kwenye somo la range, nilihit the bull 9/10, hivyo nilipomaliza tuu jkt nilipelekwa moja kwa moja JWTZ, Airwing na huko tukaanza moja deppo nyingine ya jeshi kweli sio ile ya JKT kama jeshi!.
Huko sasa nikadungua 10/10!. Mmoja wa waalimu wangu Afande Kahamba, Sstg. akatufundisha kuwa kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake, kazi ya usalama wa Taifa ni kulinda Serikali iliyopo madarakani na kazi ya jeshi ni kulinda nchi. Kwa upande wa jeshi shughuli kuu ya askari jeshi ni kuua tuu, hakuna mjadala, hakuna mahojiano, ukimuona adui, mmalize kabla hajakumaliza!, nothing more nothing less, just kill!.
(Ila kumbe mtu ukiwa na shabaha ya udunguaji kwa bunduki, unakuwa na shabaha kwenye bunduki zote mbili, kwenye ile bunduki ya pili, nimeisha dungua risasi 9!, na hapo ni zile shots za direct golini, tukija mipira ya kona na me hi za ugenini, usipime!. )
Tena mkiwa mstari wa mbele mkapigwa ambush, ni mnatawanyika na hakuna tena kusubiri amri, ni unatumia tuu initiative yako kujiokoa!.
Na katika kujiokoa, au kumetolewa amri ya retreat, wakati mnarudi nyuma kujiokoa, askari mwenzako akajeruhiwa kwa risasi, hamuwezi kumbeba, wewe unatakiwa kumfariji kwa kumlambisha morphine ili kumpunguzia maumivu, halafu unatakiwa kumfanya kitu, wanaita do the needful!, kisha mnaendelea na safari.
Wale ma komandoo, huwa na vidonge kabisa vya cyanide, ukikamatwa na adui kwenye infiltration, kuliko kisubiri kuhojiwa, unajimezea kidonge na kujtendea favours, unaondoka kishujaa!, ndio maana Wahehe jeshini ni wengi!.
Nikaanza kulichukia jeshi!.
Kumbe kambi hiyo ya Airwing ndipo wanapoendeshea Mahakama ya Kijeshi Court Marshall nikashuhudia kalinye kalinye za maofisa wa jeshi wakihukumiwa Mahakama ya Kijeshi, kiukweli niliaga jeshi kwa amani nikaenda kujiunga na TSJ nikawa mwandishi wa habari na mtangazaji.
Sasa kwenye hizi eliminations ziko mbinu mbalimbali za eliminations naomba hapa nisizitaje nisije kutoa siri za kambi ila hakuna justification yoyote kumuua binadamu kwa ukatili wa kiasi kile, the professionals wana njia nyingi za eliminations, swift and clean job and left without any trail behind!, Azory Gwanda or Ben Saanane, up to date no one knows what happened to them!, ndio maana Mama Samia alisema wale wasiojulikana wa pyu pyu za Tundu Lissu ni ma amateurs, wangekuwa ni watu wa kazi zao, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Wenzetu wa nchi zilizoendelea hadi wanatumia technology kama polonium, mtu unaondoka taratibu...!.
Sasa kwa vile kuna watu jukumu lao ni kuua, watu hao wakitumwa kumuua yoyote, sio jukumu lao kujua amefanya nini, wao wakipewa amri halali ya eliminations, kazi yao is to eliminate, how, ni juu yao!.
Hivyo kwenye Utekelezaji wa eliminations wao wanatimiza wajibu wao, hivyo kama mlengwa was shortlisted kwenye list ya eliminations, na akawa eliminated, karma ya eliminations is upon aliyetoa amri, sio wao watekelezaji!, haiwahusu, hata msome Albadir haiwahusu kwasababu wao walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao!.
Hata vitani bonus likipigwa linauwa wote wanaohusika hata wasio husika na mtenda dhambi sio mlipua bonus bali mtoa amri!.
Ndio maana nimesema kama waliofanya ukatili huu ni watu "wasiojulikana" then karma na Albadir itawahusu lakini kama ni wale 'wasiojulikana', karma wala Albadir haiwahusu!.
Ila ili eliminaons ifanyike kihalali, lazima CinC asaini death warrant ya hiyo operation ya eliminations.
Askari polisi, jeshi na usalama wa taifa, wanapoau kwenye kutimiza majukumu yao, sio dhambi!, hata vifo vya watu wasio na hatia, vinapotokea kwenye operations zozote, hatia ya damu isiyo na hatia sio kwa watekelezaji bali kwa waliopanga na kutoa amri ya Utekelezaji!
Kwa wasio jua tofauti kati ya "wasiojulikana" na 'wasiojulikana' karibu pande hii Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Lengo la elimu hii ya eliminations sio mimi kuonyesha kuwa na support eliminations, No!, msimamo wangu uko wazi na kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nimeandika!. Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti na pia kizungu nimeandika Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
Wasalaam
Jumatano Njema.
Paskali
Leopard vs Tiger 😂😂😂Mara paap umeingizwa kwenye ile list kwa kutoa siri,
Safi uzi huuu una hoja usikilizweeWanabodi,

Ndio maana nikashauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Wasalaam
Jumatano Njema.
Paskali
Hapo sasa kuna tofauti ipi?Nafikiri Bw. Paskali umechanganya mambo, hususani kwenye suala hili la kuua Watu kiholela kunakofanywa na vyombo vya Usalama.
Jaribu kutofautisha kati ya haya mambo mawili:-
1. 'Killing People' and
2."Elimination of Threats.'
Very clear line must be drawn to separate these two things. Unless otherwise, it will cause a total chaos and the serious grave human right violations.
Hao Watu uhai wa Watu wengine wanaona Kama takataka tu, uhai wanachukulia kwamba siyo kitu chochote kile Cha maana kwao. Wanafundishwa ukatili au ushetani uliopitiliza. Mathalani, nchini Urusi nje kidogo ya Jiji la Moscow, Watu Wauaji Majasusi wa KGB/FSB wana Chuo chao maalumu Cha kuwafunza 'Watu wao' mbinu za kuweza Kuwafanyia Ukatili Watu wengine, Wanafunzi wanafundishwa mbinu za kuua Watu sambamba na kuwadhuru Watu wengine kwa namna mbalimbali, Kama vile kuwawekea Watu sumu ili kuwaangamiza. Yaani ni hatari tupu. Chuo chao hicho kinaitwa The Red Banners Institute, and the worse enough hata baadhi ya Watu kutoka kwenye hizi taasisi za hapa Tanzania ambazo zinaitwa kuwa ni 'taasis au mamlaka za za usalama' Mara nyingi huwa wakipelekwa huko Urusi ili kupata Mafunzo yao kwa kazi zao.Hakuna kitu kina justify kuua mtu
Ispokuwa kama mtu ameuua au ana lengo la kuua
We all know your parents were TISS don't do this on counter repetitive inakera sasa
We have many here ambao parents ni TISS
Unaweza weka mada bila including hicho kitu
Tiss Is nothing just an ordinary job like how sisi madaktari tunafanya kazi etc
Watimize majukumu yao ipasavyo inatosha hawana justification za kuua mtu hawana privilege yeyote kuliko mtu yeyote hapa tanzania
Ndio maana akiumwa atakuja hospitali
Akitaka kujenga nyumba atatafta engineer wa ujenzi, wa umeme
Gari likiharibika ataenda garage kabla hajaenda kuua au kuteka
Atapanda ndege hatoendesha yeye they are normal people with lots of entitlements thinking they are different
Mtu anataka kuua kama hamza kill on the spot wengine wape confinement ya muda mrefu
Mbona yule sheikh kakaa confinement muda mrefu tu
Hivi do you know the value ya life ya mtu paskali.?
How sacred life is
Sikua najua kwamba Serikali inaajiri majambazi na kuyafanyia training kabisa ya kufanya ujambazi kisha inawatuma kwenda kufanya ujambazi wa kuteka na kuua, huo ni ujambazi nothing more usipewe maneno mazuri mazuri sijui nini sijui nini hakuna ni majambaziSerikali zote duniani zina utaratibu wake wa kufanya kitu kinachoitwa "elimination" of dissidents.
Usiwape majina mazuri hao ni majambazi well trained gangstersNimeelewa vizuri mada yako Ila uliona mbele kuacha jeshi kwani utaalamu wako wa kulenga shabaha ungekuwa unatumika kwa kazi maalumu Ila nasikitika hawakukutumia kwa shuguri nyingine Kama kulenga shabaha kwenye mashindano ya Olympic .
Jambo moja ambalo sikubaliani na afande wako lakini linaweza kuwa sababu ya haya yanayotokea ni kuhusu kazi ya usalama wa Taifa, kazi ya usalama wa Taifa ni kulinda usalama wa nchi ndio maana Marekani walitoa Siri ya kashifa ya Watergate Ila Kama wanaiajiliwa wanaambiwa kazi yao ni kulinda serikali hapo ndio tatizo linapoanzia, ndio maana tunaona Mambo ya ajabu yanayofanywa na viongozi wetu wakati usalama wa Taifa wapi. Wanashindwa kuchukua hatua kwa sababu wao wameshafundishea kazi yao ni kulinda serikali bila hivyo mikataba mibovu, ufisadi vingekuwa vimepungua kwa kiasi kikubwa na hata vetting za hovyo zingezuiwa.
Unawagusa watu humu JF.Hao Watu uhai wa Watu wengine wanaona Kama takataka tu, uhai wanachukulia kwamba siyo kitu chochote kile Cha maana kwao. Wanafundishwa ukatili au ushetani uliopitiliza. Mathalani, nchini Urusi nje kidogo ya Jiji la Moscow, Watu Wauaji Majasusi wa KGB/FSB wana Chuo chao maalumu Cha kuwafunza 'Watu wao' mbinu za kuweza Kuwafanyia Ukatili Watu wengine, Wanafunzi wanafundishwa mbinu za kuua Watu sambamba na kuwadhuru Watu wengine kwa namna mbalimbali, Kama vile kuwawekea Watu sumu ili kuwaangamiza. Yaani ni hatari tupu. Chuo chao hicho kinaitwa The Red Banners Institute, and the worse enough hata baadhi ya Watu kutoka kwenye hizi taasisi za hapa Tanzania ambazo zinaitwa kuwa ni 'taasis au mamlaka za za usalama' Mara huwa wakipelekwa huko Urusi ili kupata Mafunzo yao kwa kazi zao.
Mbaya sana kwa kweli.
Nafahamu sana kuhusu suala hili.Unawagusa watu humu JF.
Hakuna binadamu duniani kote mwenye wajibu au haki ya kuua binadamu mwenzake.Wanabodi,
Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote.
Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na utendaji kazi wa Albadir ambayo inafuata kanuni ya karma.
Je wajua kama walioua ni "wasiojulikana", then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'wasiojulikana', then hata Albadir haiwezi kusaisaidia kitu, kwasababu wauaji hao ni walikuwa wametimiza tuu wajibu wao!.
Kama wauawaji hao ni watu "Wasiojulikana", then karma na Albadir itawahusu, na watalipwa kwa matendo yao na uovu wao, lakini kama waliofanya mauaji hayo ni watu 'wasiojulikana', then sio karma wala Albadir inaweza kuwafanya chocolate, kwasababu walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao!.
Naomba kujitambulisha tena na tena ili kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu utendaji kazi wa kitu kinachoitwa "the operatives", mimi nimezaliwa na wazazi wangu wote wawili, baba na mama, wote ni waserekali.
Serikali zote duniani zina utaratibu wake wa kufanya kitu kinachoitwa "elimination" of dissidents. Ile mwaka 1976 kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza, Mzee wangu alihusika na mimi kuzishuhudia baadhi ya zana za kazi baba akirudi nazo usiku mkubwa. Nawaomba mkisikia baadhi ya maofisa wa jeshi, polisi na usalama wa Taifa wanakuwa walevi wa kutupa, wasameheni tuu, kwa mambo wanayoyapitia kazini, baada ya kustaafu yanakuja kuwa hunt, sasa ili kujisahaulisha, kunapelekea most of the times wawe wako bwii!.
Hivyo kuna watu wanaajiriwa na kupewa mafunzo rasmi ya elimination. Majeshi yote yana watu hawa, wanaitwa wadunguaji, snipers, hivyo hata mimi nikiwa jeshini JKT Makutopora kwa mujibu wa sheria, kwenye somo la range, nilihit the bull 9/10, hivyo nilipomaliza tuu jkt nilipelekwa moja kwa moja JWTZ, Airwing na huko tukaanza moja deppo nyingine ya jeshi kweli sio ile ya JKT kama jeshi!.
Huko sasa nikadungua 10/10!. Mmoja wa waalimu wangu Afande Kahamba, Sstg. akatufundisha kuwa kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake, kazi ya usalama wa Taifa ni kulinda Serikali iliyopo madarakani na kazi ya jeshi ni kulinda nchi. Kwa upande wa jeshi shughuli kuu ya askari jeshi ni kuua tuu, hakuna mjadala, hakuna mahojiano, ukimuona adui, mmalize kabla hajakumaliza!, nothing more nothing less, just kill!.
(Ila kumbe mtu ukiwa na shabaha ya udunguaji kwa bunduki, unakuwa na shabaha kwenye bunduki zote mbili, kwenye ile bunduki ya pili, nimeisha dungua risasi 9!, na hapo ni zile shots za direct golini, tukija mipira ya kona na me hi za ugenini, usipime!. )
Tena mkiwa mstari wa mbele mkapigwa ambush, ni mnatawanyika na hakuna tena kusubiri amri, ni unatumia tuu initiative yako kujiokoa!.
Na katika kujiokoa, au kumetolewa amri ya retreat, wakati mnarudi nyuma kujiokoa, askari mwenzako akajeruhiwa kwa risasi, hamuwezi kumbeba, wewe unatakiwa kumfariji kwa kumlambisha morphine ili kumpunguzia maumivu, halafu unatakiwa kumfanya kitu, wanaita do the needful!, kisha mnaendelea na safari.
Wale ma komandoo, huwa na vidonge kabisa vya cyanide, ukikamatwa na adui kwenye infiltration, kuliko kisubiri kuhojiwa, unajimezea kidonge na kujtendea favours, unaondoka kishujaa!, ndio maana Wahehe jeshini ni wengi!.
Nikaanza kulichukia jeshi!.
Kumbe kambi hiyo ya Airwing ndipo wanapoendeshea Mahakama ya Kijeshi Court Marshall nikashuhudia kalinye kalinye za maofisa wa jeshi wakihukumiwa Mahakama ya Kijeshi, kiukweli niliaga jeshi kwa amani nikaenda kujiunga na TSJ nikawa mwandishi wa habari na mtangazaji.
Sasa kwenye hizi eliminations ziko mbinu mbalimbali za eliminations naomba hapa nisizitaje nisije kutoa siri za kambi ila hakuna justification yoyote kumuua binadamu kwa ukatili wa kiasi kile, the professionals wana njia nyingi za eliminations, swift and clean job and left without any trail behind!, Azory Gwanda or Ben Saanane, up to date no one knows what happened to them!, ndio maana Mama Samia alisema wale wasiojulikana wa pyu pyu za Tundu Lissu ni ma amateurs, wangekuwa ni watu wa kazi zao, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Wenzetu wa nchi zilizoendelea hadi wanatumia technology kama polonium, mtu unaondoka taratibu...!.
Sasa kwa vile kuna watu jukumu lao ni kuua, watu hao wakitumwa kumuua yoyote, sio jukumu lao kujua amefanya nini, wao wakipewa amri halali ya eliminations, kazi yao is to eliminate, how, ni juu yao!.
Hivyo kwenye Utekelezaji wa eliminations wao wanatimiza wajibu wao, hivyo kama mlengwa was shortlisted kwenye list ya eliminations, na akawa eliminated, karma ya eliminations is upon aliyetoa amri, sio wao watekelezaji!, haiwahusu, hata msome Albadir haiwahusu kwasababu wao walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao!.
Hata vitani bonus likipigwa linauwa wote wanaohusika hata wasio husika na mtenda dhambi sio mlipua bonus bali mtoa amri!.
Ndio maana nimesema kama waliofanya ukatili huu ni watu "wasiojulikana" then karma na Albadir itawahusu lakini kama ni wale 'wasiojulikana', karma wala Albadir haiwahusu!.
Ila ili eliminaons ifanyike kihalali, lazima CinC asaini death warrant ya hiyo operation ya eliminations.
Askari polisi, jeshi na usalama wa taifa, wanapoau kwenye kutimiza majukumu yao, sio dhambi!, hata vifo vya watu wasio na hatia, vinapotokea kwenye operations zozote, hatia ya damu isiyo na hatia sio kwa watekelezaji bali kwa waliopanga na kutoa amri ya Utekelezaji!
Kwa wasio jua tofauti kati ya "wasiojulikana" na 'wasiojulikana' karibu pande hii Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Lengo la elimu hii ya eliminations sio mimi kuonyesha kuwa na support eliminations, No!, msimamo wangu uko wazi na kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nimeandika!. Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti na pia kizungu nimeandika Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
Ndio maana nikashauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Wasalaam
Jumatano Njema.
Paskali
Mada nyingine za mtoa mada kuhusu mambo ya kinteligensia
- Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
- TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
- US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
- Wimbi la maofisa Polisi, Jeshi na Usalama wa Taifa, kustaafu kwa mpigo, sio tishio kwa usalama?
You are Wrong.Hakuna binadamu duniani kote mwenye wajibu au haki ya kuua binadamu mwenzake.
I doubt about your reasoning capacity.
Hebu kuwa mkweli! Wewe huwafahamu?Wanabodi,