JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Anamaanisha, kuna wasiojurikana ambao ni secret Service operatives, mashushu! , inteligensia, Vijana wa, TISS,makumbusho, pale, Hawa kwa kazi Yao, hawatakiwi "kujurikana" Ila kuna wale "wasiojurikana" Kwa wananchi wa kawaida tu, ila vyombo vya dola vinawajua, ni kama macenary, gun for hire! Contract killers, wapo ccm, uvccm, na mtaani, they are not state sponsored assassinsNani kakuambia kwamba watekaji, watesaji na wauaji ni Watu wasiojulikana?
Kwa uzi huu wa leo, nina uhakika wewe ni mmoja wa walioumizwa sana kwa aina hii ya usndishi, maana umeamia kubinua beseni la vitumbua kwenye matope. Ngoja niendelee kukusoma.Wanabodi,
Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote.
Ama hakika umeamua ku share.Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na utendaji kazi wa Albadir ambayo inafuata kanuni ya karma.
NaamJe wajua kama walioua ni "wasiojulikana", then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'wasiojulikana', then hata Albadir haiwezi kusaisaidia kitu, kwasababu wauaji hao ni walikuwa wametimiza tuu wajibu wao!.
Enhee!Naomba kujitambulisha tena na tena ili kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu utendaji kazi wa kitu kinachoitwa "the operatives", mimi nimezaliwa na wazazi wangu wote wawili, baba na mama, wote ni waserekali.
Sawaa (in MacRegan Voice)Serikali zote duniani zina utaratibu wake wa kufanya kitu kinachoitwa "elimination" of dissidents. Ile mwaka 1976 kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza, Mzee wangu alihusika na mimi kuzishuhudia baadhi ya zana za kazi baba akirudi nazo usiku mkubwa. Nawaomba mkisikia baadhi ya maofisa wa jeshi, polisi na usalama wa Taifa wanakuwa walevi wa kutupa, wasameheni tuu, kwa mambo wanayoyapitia kazini, baada ya kustaafu yanakuja kuwa hunt, sasa ili kujisahaulisha, kunapelekea most of the times wawe wako bwii!.
Inaitwa bull's eye (Center of Target)Hivyo kuna watu wanaajiriwa na kupewa mafunzo rasmi ya elimination. Majeshi yote yana watu hawa, wanaitwa wadunguaji, snipers, hivyo hata mimi nikiwa jeshini JKT Makutopora kwa mujibu wa sheria, kwenye somo la range, nilihit the bull 9/10, hivyo nilipomaliza tuu jkt nilipelekwa moja kwa moja JWTZ, Airwing na huko tukaanza moja deppo nyingine ya jeshi kweli sio ile ya JKT kama jeshi!.
Kuanzia hapa, inabidi watu waache kusoma haya uliyoyaandika, badala yake waanze kusoma uliyoyaachaHuko sasa nikadungua 10/10!. Mmoja wa waalimu wangu Afande Kahamba, Sstg. akatufundisha kuwa kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake, kazi ya usalama wa Taifa ni kulinda Serikali iliyopo madarakani na kazi ya jeshi ni kulinda nchi. Kwa upande wa jeshi shughuli kuu ya askari jeshi ni kuua tuu, hakuna mjadala, hakuna mahojiano, ukimuona adui, mmalize kabla hajakumaliza!, nothing more nothing less, just kill!.
Na sasa unatumia bundiki aina ya pen(Ila kumbe mtu ukiwa na shabaha ya udunguaji kwa bunduki, unakuwa na shabaha kwenye bunduki zote mbili, kwenye ile bunduki ya pili, nimeisha dungua risasi 9!, na hapo ni zile shots za direct golini, tukija mipira ya kona na me hi za ugenini, usipime!. )
To wrapup, umeamua kujigeuza upepo na kulipiga pazia wakati ndani watu wanaoga na wengine wana vaaTena mkiwa mstari wa mbele mkapigwa ambush, ni mnatawanyika na hakuna tena kusubiri amri, ni unatumia tuu initiative yako kujiokoa!.
Na katika kujiokoa, au kumetolewa amri ya retreat, wakati mnarudi nyuma kujiokoa, askari mwenzako akajeruhiwa kwa risasi, hamuwezi kumbeba, wewe unatakiwa kumfariji kwa kumlambisha morphine ili kumpunguzia maumivu, halafu unatakiwa kumfanya kitu, wanaita do the needful!, kisha mnaendelea na safari.
Wale ma komandoo, huwa na vidonge kabisa vya cyanide, ukikamatwa na adui kwenye infiltration, kuliko kisubiri kuhojiwa, unajimezea kidonge na kujtendea favours, unaondoka kishujaa!, ndio maana Wahehe jeshini ni wengi!.
Nikaanza kulichukia jeshi!.
Kumbe kambi hiyo ya Airwing ndipo wanapoendeshea Mahakama ya Kijeshi Court Marshall nikashuhudia kalinye kalinye za maofisa wa jeshi wakihukumiwa Mahakama ya Kijeshi, kiukweli niliaga jeshi kwa amani nikaenda kujiunga na TSJ nikawa mwandishi wa habari na mtangazaji.
Sasa kwenye hizi eliminations ziko mbinu mbalimbali za eliminations naomba hapa nisizitaje nisije kutoa siri za kambi ila hakuna justification yoyote kumuua binadamu kwa ukatili wa kiasi kile, the professionals wana njia nyingi za eliminations, swift and clean job and left without any trail behind!, Azory Gwanda or Ben Saanane, up to date no one knows what happened to them!, ndio maana Mama Samia alisema wale wasiojulikana wa pyu pyu za Tundu Lissu ni ma amateurs, wangekuwa ni watu wa kazi zao, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Wenzetu wa nchi zilizoendelea hadi wanatumia technology kama polonium, mtu unaondoka taratibu...!.
Sasa kwa vile kuna watu jukumu lao ni kuua, watu hao wakitumwa kumuua yoyote, sio jukumu lao kujua amefanya nini, wao wakipewa amri halali ya eliminations, kazi yao is to eliminate, how, ni juu yao!.
Hivyo kwenye Utekelezaji wa eliminations wao wanatimiza wajibu wao, hivyo kama mlengwa was shortlisted kwenye list ya eliminations, na akawa eliminated, karma ya eliminations is upon aliyetoa amri, sio wao watekelezaji!, haiwahusu, hata msome Albadir haiwahusu kwasababu wao walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao!.
Hata vitani bonus likipigwa linauwa wote wanaohusika hata wasio husika na mtenda dhambi sio mlipua bonus bali mtoa amri!.
Ndio maana nimesema kama waliofanya ukatili huu ni watu "wasiojulikana" then karma na Albadir itawahusu lakini kama ni wale 'wasiojulikana', karma wala Albadir haiwahusu!.
Ila ili eliminaons ifanyike kihalali, lazima CinC asaini death warrant ya hiyo operation ya eliminations.
Askari polisi, jeshi na usalama wa taifa, wanapoau kwenye kutimiza majukumu yao, sio dhambi!, hata vifo vya watu wasio na hatia, vinapotokea kwenye operations zozote, hatia ya damu isiyo na hatia sio kwa watekelezaji bali kwa waliopanga na kutoa amri ya Utekelezaji!
ndio maana most of intelligence officers wanakuwa na inferiority complex unajua kwa nini? Ni topiki ndefu sana ambapo ilianzia miaka ya 1930s huko russia wakati wa kitu kilijulikana kama great purge enzi ya stalin. Ma spymaster wa huyu stalin. Kigezo mojawapo katika kuwaajiri(recruit) hawa wasiojulikana ni kutambua kama wanayo inferiority complex. Na kulikuwa na sababu genuine sana kuhusu hili. Hiyo ni mada nyingine ndefu.Hakuna kitu kina justify kuua mtu
Ispokuwa kama mtu ameuua au ana lengo la kuua
We all know your parents were TISS don't do this on counter repetitive inakera sasa
We have many here ambao parents ni TISS
Unaweza weka mada bila including hicho kitu
Tiss Is nothing just an ordinary job like how sisi madaktari tunafanya kazi etc
Watimize majukumu yao ipasavyo inatosha hawana justification za kuua mtu hawana privilege yeyote kuliko mtu yeyote hapa tanzania
Ndio maana akiumwa atakuja hospitali
Akitaka kujenga nyumba atatafta engineer wa ujenzi, wa umeme
Gari likiharibika ataenda garage kabla hajaenda kuua au kuteka
Atapanda ndege hatoendesha yeye they are normal people with lots of entitlements thinking they are different
Mtu anataka kuua kama hamza kill on the spot wengine wape confinement ya muda mrefu
Mbona yule sheikh kakaa confinement muda mrefu tu
Hivi do you know the value ya life ya mtu paskali.?
How sacred life is
ndio maana most of intelligence officers wanakuwa na inferiority complex unajua kwa nini? Ni topiki ndefu sana ambapo ilianzia miaka ya 1930s huko russia wakati wa kitu kilijulikana kama great purge enzi ya stalin. Ma spymaster wa huyu stalin mmojawapo alijulikana kama sudoplatov Kigezo mojawapo katika kuwaajiri(recruit) hawa wasiojulikana ni kutambua kama wanayo inferiority complex. Na kulikuwa na sababu genuine sana kuhusu hiki kigezo. Hiyo ni mada nyingine ndefu.Hakuna kitu kina justify kuua mtu
Ispokuwa kama mtu ameuua au ana lengo la kuua
We all know your parents were TISS don't do this on counter repetitive inakera sasa
We have many here ambao parents ni TISS
Unaweza weka mada bila including hicho kitu
Tiss Is nothing just an ordinary job like how sisi madaktari tunafanya kazi etc
Watimize majukumu yao ipasavyo inatosha hawana justification za kuua mtu hawana privilege yeyote kuliko mtu yeyote hapa tanzania
Ndio maana akiumwa atakuja hospitali
Akitaka kujenga nyumba atatafta engineer wa ujenzi, wa umeme
Gari likiharibika ataenda garage kabla hajaenda kuua au kuteka
Atapanda ndege hatoendesha yeye they are normal people with lots of entitlements thinking they are different
Mtu anataka kuua kama hamza kill on the spot wengine wape confinement ya muda mrefu
Mbona yule sheikh kakaa confinement muda mrefu tu
Hivi do you know the value ya life ya mtu paskali.?
How sacred life is
Wanabodi,
Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote.
Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na utendaji kazi wa Albadir ambayo inafuata kanuni ya karma.
Je wajua kama walioua ni "wasiojulikana", then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'wasiojulikana', then hata Albadir haiwezi kusaisaidia kitu, kwasababu wauaji hao ni walikuwa wametimiza tuu wajibu wao!.
Kama wauawaji hao ni watu "Wasiojulikana", then karma na Albadir itawahusu, na watalipwa kwa matendo yao na uovu wao, lakini kama waliofanya mauaji hayo ni watu 'wasiojulikana', then sio karma wala Albadir inaweza kuwafanya chocolate, kwasababu walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao!.
Naomba kujitambulisha tena na tena ili kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu utendaji kazi wa kitu kinachoitwa "the operatives", mimi nimezaliwa na wazazi wangu wote wawili, baba na mama, wote ni waserekali.
At this juncture naomba ku declare interest, kuwa mimi Paskali Mayalla napinga mauaji ya aina yoyote na hata adhabu ya kifo iko kinyume cha katiba ya JMT, na mimi ni miongoni mwa watu tunaopinga adhabu ya kifo - Wana JF tuungane kusema NO hukumu ya kifo
- Siku ya Kupinga Adhabu ya Kifo
- Mjadala kupinga adhabu ya kifo nchini. TLS yajali utu, yaonesha njia. Adhabu hii ifutwe
Serikali zote duniani zina utaratibu wake wa kufanya kitu kinachoitwa "elimination" of dissidents. Ile mwaka 1976 kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza, Mzee wangu alihusika na mimi kuzishuhudia baadhi ya zana za kazi baba akirudi nazo usiku mkubwa. Nawaomba mkisikia baadhi ya maofisa wa jeshi, polisi na usalama wa Taifa wanakuwa walevi wa kutupa, wasameheni tuu, kwa mambo wanayoyapitia kazini, baada ya kustaafu yanakuja kuwa hunt, sasa ili kujisahaulisha, kunapelekea most of the times wawe wako bwii!.
Hivyo kuna watu wanaajiriwa na kupewa mafunzo rasmi ya elimination. Majeshi yote yana watu hawa, wanaitwa wadunguaji, snipers, hivyo hata mimi nikiwa jeshini JKT Makutopora kwa mujibu wa sheria, kwenye somo la range, nilihit the bull 9/10, hivyo nilipomaliza tuu jkt nilipelekwa moja kwa moja JWTZ, Airwing na huko tukaanza moja deppo nyingine ya jeshi kweli sio ile ya JKT kama jeshi!.
Huko sasa nikadungua 10/10!. Mmoja wa waalimu wangu Afande Kahamba, Sstg. akatufundisha kuwa kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zake, kazi ya usalama wa Taifa ni kulinda Serikali iliyopo madarakani na kazi ya jeshi ni kulinda nchi. Kwa upande wa jeshi shughuli kuu ya askari jeshi ni kuua tuu, hakuna mjadala, hakuna mahojiano, ukimuona adui, mmalize kabla hajakumaliza!, nothing more nothing less, just kill!.
(Ila kumbe mtu ukiwa na shabaha ya udunguaji kwa bunduki, unakuwa na shabaha kwenye bunduki zote mbili, kwenye ile bunduki ya pili, nimeisha dungua risasi 9!, na hapo ni zile shots za direct golini, tukija mipira ya kona na me hi za ugenini, usipime!. )
Tena mkiwa mstari wa mbele mkapigwa ambush, ni mnatawanyika na hakuna tena kusubiri amri, ni unatumia tuu initiative yako kujiokoa!.
Na katika kujiokoa, au kumetolewa amri ya retreat, wakati mnarudi nyuma kujiokoa, askari mwenzako akajeruhiwa kwa risasi, hamuwezi kumbeba, wewe unatakiwa kumfariji kwa kumlambisha morphine ili kumpunguzia maumivu, halafu unatakiwa kumfanya kitu, wanaita do the needful!, kisha mnaendelea na safari.
Wale ma komandoo, huwa na vidonge kabisa vya cyanide, ukikamatwa na adui kwenye infiltration, kuliko kisubiri kuhojiwa, unajimezea kidonge na kujtendea favours, unaondoka kishujaa!, ndio maana Wahehe jeshini ni wengi!.
Nikaanza kulichukia jeshi!.
Kumbe kambi hiyo ya Airwing ndipo wanapoendeshea Mahakama ya Kijeshi Court Marshall nikashuhudia kalinye kalinye za maofisa wa jeshi wakihukumiwa Mahakama ya Kijeshi, kiukweli niliaga jeshi kwa amani nikaenda kujiunga na TSJ nikawa mwandishi wa habari na mtangazaji.
Sasa kwenye hizi eliminations ziko mbinu mbalimbali za eliminations naomba hapa nisizitaje nisije kutoa siri za kambi ila hakuna justification yoyote kumuua binadamu kwa ukatili wa kiasi kile, the professionals wana njia nyingi za eliminations, swift and clean job and left without any trail behind!, Azory Gwanda or Ben Saanane, up to date no one knows what happened to them!, ndio maana Mama Samia alisema wale wasiojulikana wa pyu pyu za Tundu Lissu ni ma amateurs, wangekuwa ni watu wa kazi zao, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Wenzetu wa nchi zilizoendelea hadi wanatumia technology kama polonium, mtu unaondoka taratibu...!.
Sasa kwa vile kuna watu jukumu lao ni kuua, watu hao wakitumwa kumuua yoyote, sio jukumu lao kujua amefanya nini, wao wakipewa amri halali ya eliminations, kazi yao is to eliminate, how, ni juu yao!.
Hivyo kwenye Utekelezaji wa eliminations wao wanatimiza wajibu wao, hivyo kama mlengwa was shortlisted kwenye list ya eliminations, na akawa eliminated, karma ya eliminations is upon aliyetoa amri, sio wao watekelezaji!, haiwahusu, hata msome Albadir haiwahusu kwasababu wao walikuwa wanatimiza tuu wajibu wao!.
Hata vitani bonus likipigwa linauwa wote wanaohusika hata wasio husika na mtenda dhambi sio mlipua bonus bali mtoa amri!.
Ndio maana nimesema kama waliofanya ukatili huu ni watu "wasiojulikana" then karma na Albadir itawahusu lakini kama ni wale 'wasiojulikana', karma wala Albadir haiwahusu!.
Ila ili eliminaons ifanyike kihalali, lazima CinC asaini death warrant ya hiyo operation ya eliminations.
Askari polisi, jeshi na usalama wa taifa, wanapoau kwenye kutimiza majukumu yao, sio dhambi!, hata vifo vya watu wasio na hatia, vinapotokea kwenye operations zozote, hatia ya damu isiyo na hatia sio kwa watekelezaji bali kwa waliopanga na kutoa amri ya Utekelezaji!
Kwa wasio jua tofauti kati ya "wasiojulikana" na 'wasiojulikana' karibu pande hii Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Lengo la elimu hii ya eliminations sio mimi kuonyesha kuwa na support eliminations, No!, msimamo wangu uko wazi na kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nimeandika!. Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti na pia kizungu nimeandika Mama don't preach. I think we've had enough of Preaching about law, justice & human rights. Would you Please just Practice what you Preach?
Ndio maana nikashauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Wasalaam
Jumatano Njema.
Paskali
Mada nyingine za mtoa mada kuhusu mambo ya kinteligensia
- Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
- TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
- US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
- Wimbi la maofisa Polisi, Jeshi na Usalama wa Taifa, kustaafu kwa mpigo, sio tishio kwa usalama?
Ndio mkuundio maana most of intelligence officers wanakuwa na inferiority complex unajua kwa nini? Ni topiki ndefu sana ambapo ilianzia miaka ya 1930s huko russia wakati wa kitu kilijulikana kama great purge enzi ya stalin. Ma spymaster wa huyu stalin mmojawapo alijulikana kama sudoplatov Kigezo mojawapo katika kuwaajiri(recruit) hawa wasiojulikana ni kutambua kama wanayo inferiority complex. Na kulikuwa na sababu genuine sana kuhusu hiki kigezo. Hiyo ni mada nyingine ndefu.
Fafanua mkuu,walimfanyaje?Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora alimuua dureva wa daladala dunguze marehemu walimdengereko mkuu wa mkoa
SahihiMtu akikutesa akakuua, maombi hayafanyi kazi pigana mwenyewe. Ingekuwa hizo albadir zinafanya kazi basi Hamas wasingekuwa frontline kupoteza maisha Israel na akina Nyau wangekuwa washaanguka kitambo.
Hiyo inaitwa akili mnemba😂Siku hizi watu wameendelea hawasomi albadir bana wanasoma toleo jipya Kurjuan kamuulize mzee Magoma wa Yanga atakuelewesha maana ndiye mwenye hakimiliki ya Kurjuan. Albadir ni analougue imepitwa na wakati siku hizi watu wanasoma Kurujuan ambayo ni digital na inatumia Artificail Intelligence (AI). Hiyo Kurujuan inatumia akili bandia kujua aliyefanya tukio, aliyeshiriki kwa namna yoyote ile, aliyetoa ruhusa tukio litokee, aliyeendesha gari kwenda kwenye tukio, aliyewatuma wafanye tukio, aliyekuwa na taarifa kuwa kuna tukio linaenda kutokea, aliyepokea taarifa za tukio hata aliyewaza tu kuhusu hilo tukio, n.k; Kurujuan inaenda kuwatembelea wote.
Utani utani na Kurjuan tunaweza kuja kuona vichaa namba "E" barabarani hivi karibuni na huku nyeti zikiwa nje zikipigwa upepo.
Wanabodi,
Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote.
Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu, kama kuna kitu nakijua, huwa na share, leo naomba kushare kuwaelimisha kidogo kuhusu wauaji na utendaji kazi wa Albadir ambayo inafuata kanuni ya karma.
Mkuu Lodi Dela, Lord Delamere in Kenya karibu pande hizi。MAlipodhurumiwa Ali Kibao na wale wasiojulikana ndo nilikuja kuiona rangi halisi ya Paskali. Hakuonyesha kuumia na kwa uandishi wake huo tunaoambiwa ni wa 'akili kubwa' alionekana yuko upande wa dhulumati.