Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Bendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba.
Imetokea tena huko Kilosa bendera za Taifa zikiwa zimebandikwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba. Je, bendera ya taifa hivi sasa hailindwi na katiba au hilo linafanyika kwa sababu Rais yuko nje ya katiba?