Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Naunga mkonoBendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba.
Imetokea tena huko Kilosa bendera za Taifa zikiwa zimebandikwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba. Je, bendera ya taifa hivi sasa hailindwi na katiba au hilo linafanyika kwa sababu Rais yuko nje ya katiba?
Unless you are not a great thinker you don't have to.Kwahiyo unataka great thinkers tujadili hili nalo au?
Tuone picha kwanza ndo tuchangie madaBendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba.
Imetokea tena huko Kilosa bendera za Taifa zikiwa zimebandikwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba. Je, bendera ya taifa hivi sasa hailindwi na katiba au hilo linafanyika kwa sababu Rais yuko nje ya katiba?
Kama haukuona live alipokua Kilosa nakushauri endelea na Simba Day na supu ya Jumapili.Tuone picha kwanza ndo tuchangie mada
Weka pichaBendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba.
Imetokea tena huko Kilosa bendera za Taifa zikiwa zimebandikwa picha ya Rais Samia kinyume na maelekezo ya katiba. Je, bendera ya taifa hivi sasa hailindwi na katiba au hilo linafanyika kwa sababu Rais yuko nje ya katiba?
Bendera hizi zimeonekana Kilosa kwenye ziara ya rais Samia wakati wa uzinduzi wa daraja.Weka picha