Kama wana CHADEMA 'wanaozunguka' kuomba 'Kura' za Halima Mdee 'Kawe' wana 'Udhaifu' huu, basi 'namtabiria' Askofu Gwajima Ushindi asubuhi tu!

Halima ni mwanamama hodari sana . Wanawake wote wasipomchagua tutawadharau sana wanawake wa Kawe! Tumchague Halima kwa vyovyote vile huyo askofu arudi kanisani kwake!
 
Vijana wote wake kwa waume wanaojua thamani ya mwanamke wamchague Halima. Kweli tu kumchagua mwingine Kawe tutaonekana hatujui kuwa Halima ni dhahabu!!
 
Nenda pornbub maadili ya GWAJIMA yapo anahubiri uku amemuinamisha kondoo
 
Kweli Kawe na usomi wote mpaka Leo hatujui majukumu ya mbunge?
1. Kusimamia serikali iweze kupitisha mipango mizuri ya taifa na hasa ya Jimbo lake -hili Halima amelifanya kwa nguvu zote hata ikamletea afukuzwe bungeni na wale wa ndiyoooo!
2. Kujadili rasimu za sheria na kupitisha sera na sheria zilizo bora kwa nchi yetu ikiwemo Kawe
3. Kijadili na kupitisha bajeti ya taifa, akishawishi serikali iweke bajeti ya kutosha katika sehemu muhimu kama kilimo. Elimu, afya, maji , hudumu zinazolenga wanawake na barabara wakati wa kupitisha bajeti za taifa-hili Ali Fanta kwa nguvu sana!
4. Kupeleka serikalini shida za jimbo lake na kutoa mawazo kuhusu jinsi gani bora ya kutatua matatizo hayo-tulimsikia sana akipambana kuhusu shida za mabepande, Mbweni,barabara ya makongo nk
5. Yeye kama Kiongozi wa chama cha wanawake BAWACHA tunasikia alifanya sana Kazi nzuri kuwaendeleza na kuwalea vijana wa kike wafikie ngazi ya juu kama yeye jambo ambalo halifanyiki sana na wanawake wengi viongozi!!

Kawe ni Halima!!! Halima wa Kawe!!!
 
Hulka ya vilaza
 
Mdee ni mbunge wa kawe lakini pia huwa ni mbunge wa taifa!Husimama kidete pale anapoona mipango ya serikali haijakaa sawa!
Kiukweli wabunge wengi wa upinzani wana tija bungeni kuliko mizigo ya CCM!
Akagombee uraisi , jimbo la kawe linahitaji mwakilishi wake , asituchanganyie mambo.
 
Kikao cha bajeti halima alikuwepo bungeni ? Tuleteeni gwaji kawe.
 
Bunge la Tanzania usipokuwa na Halima Mdee, Esther Bulaya, Esther Matiko Godbless Lema, Patrick Msigwa, Heche, Sugu wa Mbeya, Mnyika, Mbowe, Zitto Kabwe, na wengine kutokana upinzani bunge litakuwa la ndiyooooooo!!!! Tu. Ndiyo tunachotaka???
Chademaphobia.
 
Mbona uzi wako leo haueleweki??
 
Wanaopinga kila kitu wana faida gani.mkafanye migomo huko huko bambav!
Yeye anatetea anachokiamini, nimeshuhudia bungeni akipinga Kikokotoo kwa nguvu zote, but lile kundi la wabunge wa Ndiyooooo kwa kila kitu wao wakapitisha ule muswada wa kikokotoo.. Baadaye rais alivyoona wafanyakazi wengi wameendelea kupinga akasimamusha utekelezaji wa kikokotoleo,yaani akawa ameungana na akina Mdee, Bulaya na wengine waliopinga tokea mwanzo. Maajabu ya Mungu yale malofa ya ndiyooooo yakabadili tena upepo kuunga mkono rais.
 
Kwa nini unachanganya mambo wewe? Kukataa bajeti (zamani enzi za chama kimoja walitumia kutoa shilingi) ni jambo la kawaida sana kwenye mabunge ya commonwealth, ni ishara kwamba hukubaluani nayo mpaka ifanyiwe marekebisho. Bahati mbaya sana kwa kuwa na spika kama ndugai ndiyo kabisaaa anakoleza moto na kuwafukuza. Ndiyo maana kwa taarifa yako bajeti inayopitishwa imekuwa inatekelezwa below 60 mpaka 50 %, baadhi ya wizara even below 50 %....
 
Ameshindwa kuwaletea maendeleo waumini wake ndo ataweza wanakawe
 
Baada ya mabeberu kumtafuna mchungaji hatimae mchungaji kanjanja afakamia maharage mabichi.
 

Attachments

  • FB_IMG_1600867028862.jpg
    47.4 KB · Views: 1
Ameshindwa kuwapeleka mbinguni waumini wake ndo ataweza wapeleka wanakawe USA
 

Attachments

  • FB_IMG_1600884518353.jpg
    36.1 KB · Views: 1
Wanachama wengi na wafuasi wa vyama vingi vya upinzani huwa hawafahamu ilani za vyama vyao.

Viongozi wao hutumia muda mwingi Sana kuyaelezea yale wanayoyaita madhaifu ya serikali ya CCM.

Wanaokwenda upinzani ni wale kwa namna moja ama nyingine wamedanganyika na upotoshaji unaofanywa na viongozi wa vyama vya upinzani na sio kwa ubora wa sera za vyama vya upinzani.

Ushahidi wa hayo ni kampeni za Urais za vyama vyote vya upinzani, ni aghalab kunadi sera zao kuliko kuponda yaliyofanywa na serikali ya CCM.
 
Mdee amekwishapoteza jimbo anasubiri confirmation tu
Nilimuonea huruma mdee baada ya kuliona gari la chadema likipita mitaani likitangaza hotuba za Gwajima,hivi halima hawajui wapiga kura wake wanataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…