M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Jan 29, 2022 #1 Iwe ni serikali kuu au serikali za miji huwa zinakusanya kodi na kutenga mapato kwa ajili ya usafi na wa miji hiyo. Sasa hili la kusumbua watu Jumamosi kwa ajili ya usafi mabarabarani linatoka wapi? Hizo pesa zinatumka kwa ajili ya nini?
Iwe ni serikali kuu au serikali za miji huwa zinakusanya kodi na kutenga mapato kwa ajili ya usafi na wa miji hiyo. Sasa hili la kusumbua watu Jumamosi kwa ajili ya usafi mabarabarani linatoka wapi? Hizo pesa zinatumka kwa ajili ya nini?
Mawematatu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 468 Reaction score 608 Jan 29, 2022 #2 Na mtu wangu