Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ni wakati sasa Samia apewe na umufti wa TanzaniaUkiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?