Ni wakati sasa Samia apewe na umufti wa TanzaniaUkiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
Hapana!!! tunapowaoa wanawake wanakuwa sio 2nd person bali tunakuwa mwili mmoja sema tu wao wanakuwa ni wasaidizi na kawaida msaidizi anaakili nyingi kuliko anayesaidiwa. It is what it is tusipoteze maana.Si ubaguzi lakini Mwanamke toka uumbaji ni 2nd person kwa mwanaume - na ndiyo maana tunawaoa ila wao hawaoi.
Ni makosa mwanamke kumpa uongozi juu ya wanaume, mwanamke anaweza kuwa kiongozi kwa wanawake wenzake.
Angqlizo; wale wanaharakati wa kutetea haki za wanawake wanaweza kukuua wakisia hivi.
Dini ni maswala ya kiroho zaidi,na siasa ni mambo ya kimwili zaidi so haviingilianiUkiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
Nipe fact kwanni unasema hivoUongozi wa siasa ni mgumu zaidi kuliko wa dini.
KWani kuongoza ktk dini unataka hd awe padri au shehe? Wachungaji huwaoni akina mfalme zumaridi? Tunafuata mafundisho ya vitabu vyetu na si mafundisho ya elimu dunia, kwenye ufuatliaji wako wa biblia takatifu au quruan tufuku ulishaona sehemu mwanamke kaongoza ibada au kusimamia madhabahu?Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
Wewe ushawahi kuona mtume mwanamke? Kama hapana basi nani ni nani mpaka avunje utaratibu wa miaka 1000 kadhaa iliyopita.Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
Sio kweli kuwa siasa na dini haviingiliani hapana kwasababu mambo yote yanaanzia rohoni.Dini ni maswala ya kiroho zaidi,na siasa ni mambo ya kimwili zaidi so haviingiliani
Kuna maaskofu wa kike wa kilutheri na kianglikana.Maaskofu ndio viongozi katika Ukristo.
Kama hakuna sheykhat ilo jina umelitoa wap 😁wachungaji wanawake siku hizi wapo, baadhi ya makanisa ya kipentekoste na kkkt kuna wachungaji wa kike. Katoliki ndio hakuna katekista wala padri wa kike. Kule kwa waislam ndio hakuna kabisa kiongozi wa kike, hakuna sheikh/sheikhat muongoza ibada wa kike
Kwenye siasa kama ni demokrasia inakubidi utumie hoja, ushawishi na maarifa mengi sana, kama ni kwenye uimla itakubdi uongoze na matumizi ya nguvu. Kwenye dini unaongoza kwa muongozo usio na mjadala au usiohojiwa.Nipe fact kwanni unasema hivo
Sasa kwa kifupi ni uongo dini maana yake njia na ktk dini ya kikristo njia maana yake Yesu Kristo ndiye njia ya kweli na uzima kwahiyo kwenye dini dhamila inatoka ndani ya Moyo unakuwa ni mkweli.Kwenye siasa kama ni demokrasia inakubidi utumie hoja, ushawishi na maarifa mengi sana, kama ni kwenye uimla itakubdi uongoze na matumizi ya nguvu. Kwenye dini unaongoza kwa muongozo usio na mjadala au usiohojiwa.