Shida mara nyingi huwa pale mume na mke wa kwanza mnapokuwa mmeanza pamoja mkiwa mafukara kabisa kisha baada ya kuishi pamoja kwa miaka kadhaa ndio mkajipata. Mwanamke hUona huyu mke mpya anakuja kufaidi matunda ya jasho lenu wakati mnapambana yeye hakuwepo.Kuna kuwa shwari kwa nje lakini sio ndani. Mke wa kwanza huwaga hakubali..
Warithi kwa utambulisho kutoka wapi msajili wa mirathi hawajui labda wawepo kwenye tamko la mirathiIv unajielewa ww kwaiyo hao watoto watakao zaliwa hawato rithi mali za baba ake au siyo
Umetoa Elimu kubwa sana hapa Ndugu. Shida mara nyingi huletwa na wale wasio na hii Elimu. Mfano nimeshaona jamaa mmoja ana mke na watoto wa wawili wa kiume wenye umri wa chini ya miaka nane tena anaishi chumba kimoja halafu anataka kuongeza mke wa pili kisa tu kaka Yake kaoa mke wa pili. Wakati huyo kaka yake uchumi wake unamruhusu.Katika dini ya Kiislamu, kuoa mke zaidi ya mmoja (mitala au polygyny) ni jambo lililoruhusiwa chini ya misingi na masharti madhubuti, na si jambo lililoachwa kiholela. Ruhusa hii inatokana na aya za Qur'ani na mafundisho ya Mtume Muhammad (S.A.W).
Hapa kuna sababu kuu na hekima zinazotajwa katika Uislamu kuhusu kuruhusiwa kwa mfumo huu:
1. Kulinda Yatima na Wajane
Kihistoria, hasa baada ya vita (kama vile Vita vya Uhud katika zama za Mtume), jamii ilibakiwa na idadi kubwa ya wajane na watoto yatima ambao walikosa walezi na msaada wa kiuchumi na kijamii.
Kuoa wajane hawa kuliwapa hifadhi, usalama, na heshima katika jamii, badala ya kuwaacha wapambane peke yao au kuangukia kwenye umaskini.
2. Udhibiti wa Maadili na Kuepuka Zinaa
Uislamu unasisitiza sana usafi wa tabia na maadili. Katika mazingira ambapo idadi ya wanawake inazidi ile ya wanaume (kwa sababu ya vita, ajali, au sababu za kimaumbile):
Mfumo huu unatoa fursa kwa wanawake wengi zaidi kupata waume wa kisheria na kuanzisha familia.
Inazuia madhara ya kijamii kama vile mahusiano ya siri yasiyo rasmi (michepuko) na uzinzi, kwa kuwawezesha wanaume wenye uwezo kuwa na wake rasmi kisheria.
3. Masuala ya Kiafya au Uzazi
Kuna wakati mke anaweza akawa anakabiliwa na changamoto za kiafya za muda mrefu zinazomzuia kukidhi baadhi ya mahitaji ya ndoa, au changamoto za uzazi (kama utasa), huku mume akitamani kupata watoto.
Badala ya mume kumpa talaka mke huyo na kumuacha katika hali ngumu, Uislamu unamruhusu kubaki naye na kuongeza mke mwingine ili kukidhi mahitaji hayo, huku akimtunza mke wa kwanza kwa heshima yote.
4. Kuongeza Kizazi na Nguvu Kazi ya Jamii
Katika mtazamo wa Kiislamu, watoto ni baraka. Kuongezeka kwa idadi ya Waislamu wema wanaomwabudu Mwenyezi Mungu na kuchangia katika maendeleo ya jamii ni jambo linalohimizwa. Familia kubwa (kupitia wake wengi) ilikuwa na bado ni njia ya kuongeza nguvu kazi na umoja katika jamii.
Sharti Kuu: Uadilifu (Al-'Adl)
Ni muhimu kusititiza kuwa Uislamu haukuamrisha (haukufanya kuwa nguzo au lazima) kuoa wake wengi, bali uliruhusu kukiwa na sababu na uwezo. Sharti kubwa na gumu kuliko yote lililowekwa na Qur'ani ni Uadilifu.
Mwenyezi Mungu anasema katika Surat An-Nisaa (4:3):
"...basi oeni wanaokupendezeni katika wanawake, wawili au watatu au wanne. Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi (oeni) mmoja tu..."
Uadilifu huu unajumuisha:
Matumizi na utunzaji wa kiuchumi (chakula, mavazi, malazi).
Mgawanyo sawa wa muda na malazi (kulala kwa kila mke).
Tabia njema na matibabu ya usawa kwa wake wote.
Ikiwa mwanamume anajua hawezi kuwa mwadilifu katika mambo hayo, kidini anapaswa kuishia mke mmoja tu ili kuepuka madambi.
Actually uko duniani wanatuona Tanzania ni maskini...Kweli Waislamu wengi wenye wake zaidi ya mmoja ni Masikini utakuta Mwanaume kipato chake kwa Mwezi laki 7 lakinu ana Wake wawili Mke mdogo kampangia chumba kimoja, Ukitaka Uishi Maisha mazuri na Wake Wengi unatakakiwa uwe na Kipato kikubwa ili ukiwa na Wake Mfano watatu unawajengea kila mke Nyumba na Biashara unawafugulia yani siku ukifariki kuna kua hakuna mambo ya kugombea Mirathi anakua kila Mke na watoto wake wanakua na kwao.
Kipimo cha Umasikini ni pale mtu au familia kushindwa kukudu mahitaji muhimu Afya, Elimu, Chakula na Malazi, Mfano kule Zanzibar Wazanzibar wanapenda kuoa wake wengi wakati huo vipato vyao ni vidogo havikizi kumudu mke zaidi ya mmoja, utakuta Mume anaongeza mke mdogo wakati huo kipato chake ni kidogo ndiyo maana inapelekea Mume kumtelekeza mke mkubwa na kuegemea kwa mke Mpya na kupelekea Mke mkubwa na watoto kuishi kwa shida na kuishia kula mlo mmoja tu kwa kutwa na Watoto kushindwa kupata mahitaji yao muhimu kama nguo nk, Kule Zanzibar mjini ukikutana na Wanafunzi wa Shule za Serikali wanavaa Uniform za hovyo yani kila mwanafunzi anavaa viatu anavyoweza kuvimudu kuna mtoto ana vaa mpaka yebo yebo na Mwalimu mkuu wake ana vaa kandambili shuleni.Actually uko duniani wanatuona Tanzania ni maskini...
Sasa kipimo cha umaskini ni nini?
Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya Kiislamu mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni Sunna ya Mtume Muhammad. Na inatajwa kwamba mwanamke anae mruhusu mume wake kuoa mke wa pili anapata thawabu nyingi sana na ana nafasi ya pekee peponi. Lakini katika maisha halisi suala hili linaonekana kutokuwa na uhalisia mionhoni mwa wanawake wa Kiislamu kwa sababu wengi wao wana onekana kuchukizwa sana na ndoa za mitaala..
Kwenye habari zinazo husu ndoa za mitaala, wanawake wa Kiislamu wamekuwa wakitoa komenti zinazo onyesha kwamba wanachukizwa na ndoa hizo. Na hata wale wanao kubali wengi wao huwa wanakubali kishingo upande na uhamishia vita kwenye ulimwengu wa rohoni ambako huenda kuwaroga wake wenzao wahatibikiwe. Na kweli hata watoto wengi wanao zaliwa kwenye mitaala huwa hawana upendo na ndugu zao wa mama mwingine na wengi huishia kurogana na mwisho wa siku wengi wao huishia kuwa na maisha magumu.. Hata kwenye suala la mirathi huwa unatokea ugomvi mkubwa sana baina ya watoto hao...
Je walio tunga misaafu ba hadithi hawakuwa wanajua kuhusu saikolojia ya wanawake kwenye mahusiano/ndoa? Hawakuwa wanajua kwamba wanawake wengi hawawezi kukubaliana na suala la ndoa za mitaala? View attachment 3611662
"Nilikupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako mikononi mwako... na kama hayo hayakutosha ningekuzidishia zaidi." (2 Samweli 12:8)
Na Qur'an pia inasema:"Oeni wawili, watatu au wanne; lakini mkihofia kutoweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu." (Qur'an 4:3)
Ndiyo maana Waislamu wengi wana mke mmoja. Mitala ni ruhusa, si wajibu wala Sunna ya lazima."Hamtaweza kuwa waadilifu kabisa baina ya wake zenu hata mkipenda..." (Qur'an 4:129)
Kipimo cha Umasikini ni pale mtu au familia kushindwa kukudu mahitaji muhimu Afya, Elimu, Chakula na Malazi, Mfano kule Zanzibar Wazanzibar wanapenda kuoa wake wengi wakati huo vipato vyao ni vidogo havikizi kumudu mke zaidi ya mmoja, utakuta Mume anaongeza mke mdogo wakati huo kipato chake ni kidogo ndiyo maana inapelekea Mume kumtelekeza mke mkubwa na kuegemea kwa mke Mpya na kupelekea Mke mkubwa na watoto kuishi kwa shida na kuishia kula mlo mmoja tu kwa kutwa na Watoto kushindwa kupata mahitaji yao muhimu kama nguo nk, Kule Zanzibar mjini ukikutana na Wanafunzi wa Shule za Serikali wanavaa Uniform za hovyo yani kila mwanafunzi anavaa viatu anavyoweza kuvimudu kuna mtoto ana vaa mpaka yebo yebo na Mwalimu mkuu wake ana vaa kandambili shuleni.
Wanaume kuoa wake wengi mbona manabii walifanya hivyo?Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya Kiislamu mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni Sunna ya Mtume Muhammad. Na inatajwa kwamba mwanamke anae mruhusu mume wake kuoa mke wa pili anapata thawabu nyingi sana na ana nafasi ya pekee peponi. Lakini katika maisha halisi suala hili linaonekana kutokuwa na uhalisia mionhoni mwa wanawake wa Kiislamu kwa sababu wengi wao wana onekana kuchukizwa sana na ndoa za mitaala..
Kwenye habari zinazo husu ndoa za mitaala, wanawake wa Kiislamu wamekuwa wakitoa komenti zinazo onyesha kwamba wanachukizwa na ndoa hizo. Na hata wale wanao kubali wengi wao huwa wanakubali kishingo upande na uhamishia vita kwenye ulimwengu wa rohoni ambako huenda kuwaroga wake wenzao wahatibikiwe. Na kweli hata watoto wengi wanao zaliwa kwenye mitaala huwa hawana upendo na ndugu zao wa mama mwingine na wengi huishia kurogana na mwisho wa siku wengi wao huishia kuwa na maisha magumu.. Hata kwenye suala la mirathi huwa unatokea ugomvi mkubwa sana baina ya watoto hao...
Je walio tunga misaafu ba hadithi hawakuwa wanajua kuhusu saikolojia ya wanawake kwenye mahusiano/ndoa? Hawakuwa wanajua kwamba wanawake wengi hawawezi kukubaliana na suala la ndoa za mitaala? View attachment 3611662
Hao watakuwa ni pagan wenzakoWaislamu wenyewe hawa wanakula kitimoto lakini wanazingatia dini kuhusu nyapu tu. Ni magumashi tupu
Hao watakuwa ni pagan wenzako
Kuna baadhi ya mastaa kama Zamaradi,mwanaheri ni Muslim pure ila ukewenza ni kitu hawataki kusikiaHuu ni utafiti wangu na uhakika kbs huyo mwnmke ambae happening uke wenza alisilimu sio muislamu wa asili nikiwa na maana ya kwamba uislamu ameukuta ukubwani wala familia yake sio waislamu
Tunafahamu kwamba kwenye familia za kislamu huwa wanafundishwa hayo yote
Shida ipo kwa huyo mlokole uliomsilimisha kuwa muislamu analeta utaratibu wake
Ndivyo akili Za mapagani zilivyo zinapagawaWapagani ni watu wenye akili timamu, sio zoo wewe. You're literally living in a lie and difficult for you question about all the doubts you have. Kwa kifupi, you're psychologically trapped
Ukifuatilia vizuri hao usilamu wao ni waukubwani yaani hajakulia katika misingi ya imani yaoKuna baadhi ya mastaa kama Zamaradi,mwanaheri ni Muslim pure ila ukewenza ni kitu hawataki kusikia