Kama wanyama wangekuwa na whats up, stutus zao zingesomeka hivi

sokwe:wazungu waongo hao sisi wala hatukuwaambikza ukimwi
popo:wanasingizia kweli sasa hivi wanasema sisi tunaambukiza korona
 
NGOMBE :" kuna wanaume wajinga sana, hawajui hesabu. Tunampa maziwa, nyama, mbolea, harafu anaenda kutubadilisha na yule galasa mwenye tabia za Mbwa jike[emoji3][emoji3]. Mama popi sio mbwa wew"
Haa umetisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…