elly obedy JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 803 Reaction score 1,482 Mar 14, 2020 #81 Nyoka: ukinikanyaga nitakugonga.
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Mar 14, 2020 #82 sokwe:wazungu waongo hao sisi wala hatukuwaambikza ukimwi popo:wanasingizia kweli sasa hivi wanasema sisi tunaambukiza korona
sokwe:wazungu waongo hao sisi wala hatukuwaambikza ukimwi popo:wanasingizia kweli sasa hivi wanasema sisi tunaambukiza korona
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Mar 17, 2020 Thread starter #83 PRO 90 said: NGOMBE :" kuna wanaume wajinga sana, hawajui hesabu. Tunampa maziwa, nyama, mbolea, harafu anaenda kutubadilisha na yule galasa mwenye tabia za Mbwa jike[emoji3][emoji3]. Mama popi sio mbwa wew" Click to expand... Haa umetisha mkuu
PRO 90 said: NGOMBE :" kuna wanaume wajinga sana, hawajui hesabu. Tunampa maziwa, nyama, mbolea, harafu anaenda kutubadilisha na yule galasa mwenye tabia za Mbwa jike[emoji3][emoji3]. Mama popi sio mbwa wew" Click to expand... Haa umetisha mkuu
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Mar 17, 2020 #84 Nasubiri kauli ya PWEZA hasa wa dar Sent using Jamii Forums mobile app
Sim Card JF-Expert Member Joined Dec 30, 2019 Posts 881 Reaction score 1,601 Mar 17, 2020 #85 Simba= Nasikia kuna simba watu wanakula keki wanajiita watoto wa msimbazi Sent using Jamii Forums mobile app
Simba= Nasikia kuna simba watu wanakula keki wanajiita watoto wa msimbazi Sent using Jamii Forums mobile app