Kama wao wanavyoungana kwenye batili, na sie tuungane kwenye haki

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Shime wote wapenda haki, kama mnavyoona wao wameungana kwenye batili na dhulma na wizi wa mali ya serikali, basi ni wajibu wetu na sie tuungane kutetea na kulinda mali ya serikali yetu,

waliiba sana miaka na miaka sasa, sasa mirija inazibwa wanadai kuwa tayari hata inchi isitawalike?
Karibu sana dp, tuko pamoja nanyi kupiga vita mafisadi tukishirikiana na serikali yetu
 
Dp world 🔥🔥🔥🔥na wawekezaji wengine.

Sasa basi hatutaki waliokula nchi waje na matamko yao ya hovyo ,tunataka maendeleo .

'Uwekezaji bora kwa maendeleo ya nchi" sio
 
Sawa kabisa, watu wanajitambua sasa
Zama zimepita
 
Shime wote wapenda haki, kama mnavyoona wao wameungana kwenye batili na dhulma na wizi wa mali ya serikali, basi ni wajibu wetu na sie tuungane kutetea na kulinda mali ya serikali yetu,

waliiba sana miaka na miaka sasa, sasa mirija inazibwa wanadai kuwa tayari hata inchi isitawalike?
Karibu sana dp, tuko pamoja nanyi kupiga vita mafisadi tukishirikiana na serikali yetu
Uko sahihi kabisa.Walio kwenye haki hata wakiwa wachache watapata shida lakini daima hawashindwi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣hii nchi kununa uamue ww tu imagine uharo unaojadiliwa hapa
 
Back
Top Bottom