pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Sawa kabisa, watu wanajitambua sasaDp world 🔥🔥🔥🔥na wawekezaji wengine.
Sasa basi hatutaki waliokula nchi waje na matamko yao ya hovyo ,tunataka maendeleo .
'Uwekezaji bora kwa maendeleo ya nchi" sio
Tanganyika haipo, na hakuna atakaeweza kuirudisha, kilichokufa hakirudi ng'oAnzeni na mali za Zanzibar kwanza hizi ni mali za watanganyika
Uko sahihi kabisa.Walio kwenye haki hata wakiwa wachache watapata shida lakini daima hawashindwi.Shime wote wapenda haki, kama mnavyoona wao wameungana kwenye batili na dhulma na wizi wa mali ya serikali, basi ni wajibu wetu na sie tuungane kutetea na kulinda mali ya serikali yetu,
waliiba sana miaka na miaka sasa, sasa mirija inazibwa wanadai kuwa tayari hata inchi isitawalike?
Karibu sana dp, tuko pamoja nanyi kupiga vita mafisadi tukishirikiana na serikali yetu