Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha Mapinduzi ili kuweza kuona kama wanaweza kurudi bungeni.
Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba Kama kweli wapinzani wanaohamia CCM wanahama kwa lengo la kugombea kwenye uchaguzi ujao.
Je, CCM asilia hawatapata fursa ya kuogombea mwaka huu?
Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba Kama kweli wapinzani wanaohamia CCM wanahama kwa lengo la kugombea kwenye uchaguzi ujao.
Je, CCM asilia hawatapata fursa ya kuogombea mwaka huu?