CCM Asilia hawana madhara hata wasipogombea kwani wanakipenda chama wao waendelee kukipigania chama Wageni wagombee.Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa octoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia vhama Cha mapinduzi ili kuweza kuona Kama wanaweza kurudi bungeni.
Nimekuwa nikjiuliza Sana hili swali kwamba Kama kweli wapinzani wanaohamia CCM wanahama kwa lengo la kugombea kwenye uchaguzi ujao,
Je, CCM asilia hawatapata fursa ya kuogombea mwaka huu?
Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa octoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia vhama Cha mapinduzi ili kuweza kuona Kama wanaweza kurudi bungeni.
Nimekuwa nikjiuliza Sana hili swali kwamba Kama kweli wapinzani wanaohamia CCM wanahama kwa lengo la kugombea kwenye uchaguzi ujao.
Je, CCM asilia hawatapata fursa ya kuogombea mwaka huu?
Kumbe Mwenyekiti ndiyo chama?Ndiye final say?Sasa kama ndiyo malipo waliyokubaliana walipwe si itabidi walipwe. Mwenyekiti ndiye kashaamua nani ampinge?
Mkuu haya yanayoendelea siyo Kwenye Majimbo ya Upinzani pekee, hata kwenye Majimbo yaliyo chini ya ccm bado kule atawasimamisha Wagombea wake. Hivyo msije shangaa Mkuu wa Wilaya/Mkoa ama Watumishi wengine wakisimamishwa kama Wagombea huku watetezi wa Majimbo yale wakipigwa pembeni na M/K ccm Taifa.Watagombea.
Ukiacha hawa wahamiaji, CCM ilikuwa inashikilia majimbo mengi tu ambayo wanaccm asilia watagombea.
Hawa mnaodai wanaahidiwa ni kwa yale majimbo yalivyokuwa upinzani. Maana yake mwisho wa siku hayo majimbo yatarudi CCM.
Hata hivyo, hiyo sio guarantee. Kwani hauoni wengine wanapewa Uratibu kata sijui. [emoji16][emoji16]
Kwani Mkuu, kuna Mbunge yeyote wa CCM aliyeacha Ubunge akahamia CCM kwa ahadi ya kupewa nafasi 2020?Mkuu haya yanayoendelea siyo Kwenye Majimbo ya Upinzani pekee, hata kwenye Majimbo yaliyo chini ya ccm bado kule atawasimamisha Wagombea wake. Hivyo msije shangaa Mkuu wa Wilaya/Mkoa ama Watumishi wengine wakisimamishwa kama Wagombea huku watetezi wa Majimbo yale wakipigwa pembeni na M/K ccm Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ndiyo malipo waliyokubaliana walipwe si itabidi walipwe. Mwenyekiti ndiye kashaamua nani ampinge?
Hahahaha, alishaanza kubatizwa yeyeHakuna jiwe litakalobaki....Kwani Makamba aliposema huyu awabatiza kwa moto alikosea, Uzee ni hazina!
Watagombea.
Ukiacha hawa wahamiaji, CCM ilikuwa inashikilia majimbo mengi tu ambayo wanaccm asilia watagombea.
Hawa mnaodai wanaahidiwa ni kwa yale majimbo yalivyokuwa upinzani. Maana yake mwisho wa siku hayo majimbo yatarudi CCM.
Hata hivyo, hiyo sio guarantee. Kwani hauoni wengine wanapewa Uratibu kata sijui. 😁😁
Siasa mchezo wa ajabu sana. Wapinza wanasmbiwa ni nyumbu lakini wakihamia ccm ni mfalme simba.Sasa kama ndiyo malipo waliyokubaliana walipwe si itabidi walipwe. Mwenyekiti ndiye kashaamua nani ampinge?
Na kweli CCM haishindwi kufanya hivoHawa watu hawana kinachowashinda isipokuwa Time Huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya ya Wananchi.
Usishangae wakapeleka muswada Bungeni kwa hati ya dharura ili wataongeze majimbo au watakuwa na wagombea zaidi ya mmoja kila jimbo au kianzishwe cheo cha naibu diwani/Mbunge/Rais.
Watanzania wenzangu,tudai Katiba ya Wananchi haraka.Muda unapita haraka na jamaa zetu wanaomba Mungu tuendelee kujisahau ili waseme muda hautoshi na dalili za hili zimeanza kuonekana(Mchakato wa Katiba ni kiporo kilichochacha?)Tuulize nani kakichachusha na na ni wa kutulipa fedha zetu walizotumia kujilipa posho nono wakati ule?
CCM asilia ni mazwazwa wamekiachia chama mikononi mwa washamba wa kuja wamebaki kukenua kenua na kuwasifia hao washamba.Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha Mapinduzi ili kuweza kuona kama wanaweza kurudi bungeni.
Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba Kama kweli wapinzani wanaohamia CCM wanahama kwa lengo la kugombea kwenye uchaguzi ujao.
Je, CCM asilia hawatapata fursa ya kuogombea mwaka huu?