Kama wasaidizi wa Kingai wamepandishwa vyeo, siku si nyingi mamlaka ya RAIS itampandisha cheo kuwa SACP/DCP/CP au IGP

Siro, Kingai, Jumanne, Goodluck, Mahita na vizazi vyao vyote. Walaaniwe....waishi maisha marefu yenye mateso. Siyo kwa ukatili wanaoufanya
Vizazi vyao havina kosa lolote acha kuviombea mabaya,. watanzania sijui tupoje anaefanya maovu ni mtu mmoja ila mabaya waombewa wengine hata ambao hawajazaliwa
 
Vizazi vyao havina kosa lolote acha kuviombea mabaya,. watanzania sijui tupoje anaefanya maovu ni mtu mmoja ila mabaya waombewa wengine hata ambao hawajazaliwa
Hata wao ni zao la laana ya uovu wa mababu zao.
Uovu ni zao la ukoo,uovu ni spirit
 
Wakati huku Tanzania akina Kingai walipandiswa cheo, huko Kenya ambako kuna Rais wa watu hali ni Tofauti.
Your browser is not able to display this video.
 
Na huyo huyo Mungu anaweza akakuhukumu wewe muomea hukumu wenzako,
Kabla ya maombi yako wewe kutimizwa.

Kesi za kisiasa,haziwezi kuiondolea taasisi kama Polisi,kutofuata mfumo na rekodi za watendaji wake,kulingana na uhodari wao.

Mbona hatusikii mkilalamikia Uhuni unaofanywa na #Kweka DPP anayemsaidia #Mbowe kulipa kisasi kule Moshi??

Sio kila mbaya wa Chadema ni mbaya kwa Taifa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…