BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Kwani ni lini uliisha?
Haukiki mtaani kama zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni lini uliisha?
Siku hizi wanauita kifua, muulize warumi.
Celebrities bongo wenye sifa za kuitwa ma Celebrity hawazidi wa 5. Kwa mtazamo na viwango vyangu mm.
Hivi ukimwi bado upo?
1.Jini kabula.
2.Stivie Nyerere.
3.Welu Sengo.
4.Jokate mwegelo.
5.Dimondi
6.Sepetunga
7.Kiba
8.Jack chuz
9.Chuz
10.Johari
11.Mainda
12.Ray
Wasanii hao wapo juu sana kikazi za sanaa.
Hatari, unaonaje wasanii wote kuwa huenda wana HIV!
Wewe unaamini kila unalosoma kwenye gazeti au kilanunachoona mtandaoni?
Wasanii nao ni kama binadamu wengine.
Tena inawezekana kabisa sisi tusio wasanii ni wazinzi tuliotukuka kupita hao wasanii.

I second you.
Sisi ni wahuni kuliko hata hao wasanii..
Sometimes naona wasanii wanaonewa sana, kwenye jamii kuna watu ni wahuni hadi shetani anawaogopa! Hata mimi sema nishaacha lol! 
1.Jini kabula.
2.Stivie Nyerere.
3.Welu Sengo.
4.Jokate mwegelo.
5.Dimondi
6.Sepetunga
7.Kiba
8.Jack chuz
9.Chuz
10.Johari
11.Mainda
12.Ray
Wasanii hao wapo juu sana kikazi za sanaa.