Kama wasanii wetu wote wakipimwa HIV

1.Jini kabula.
2.Stivie Nyerere.
3.Welu Sengo.
4.Jokate mwegelo.
5.Dimondi
6.Sepetunga
7.Kiba
8.Jack chuz
9.Chuz
10.Johari
11.Mainda
12.Ray


Wasanii hao wapo juu sana kikazi za sanaa.
 
Katika serikali yangu ningepiga sana ya maigizo, maana hakuna maana yoyote, unaangalia kitu wakati unajua sio kweli hapo unajifurahisha nini? mie naona wanaolima wakafanikiwa, wanaimba mziki wakafanikiwa wanaoanzisha maisha ya kutoka chini kwenda juu ndio waonyeshe mafanikio yao, sio unaigiza mafanikio umefanya biashara alafu jioni unaenda kupiga mizinga, kumbe mbinu za kupata unazijua lakini unafanya makusudi.
 
1.Jini kabula.
2.Stivie Nyerere.
3.Welu Sengo.
4.Jokate mwegelo.
5.Dimondi
6.Sepetunga
7.Kiba
8.Jack chuz
9.Chuz
10.Johari
11.Mainda
12.Ray


Wasanii hao wapo juu sana kikazi za sanaa.

Nama 3 naona kama unamuonea sijawahi kusikia skendo zake
 
Hatari, unaonaje wasanii wote kuwa huenda wana HIV!
Wewe unaamini kila unalosoma kwenye gazeti au kilanunachoona mtandaoni?
Wasanii nao ni kama binadamu wengine.
Tena inawezekana kabisa sisi tusio wasanii ni wazinzi tuliotukuka kupita hao wasanii.

Kama wewe na mimi tumezidi dayuuum
 
Hatari, unaonaje wasanii wote kuwa huenda wana HIV!
Wewe unaamini kila unalosoma kwenye gazeti au kilanunachoona mtandaoni?
Wasanii nao ni kama binadamu wengine.
Tena inawezekana kabisa sisi tusio wasanii ni wazinzi tuliotukuka kupita hao wasanii.

I second you.

Sisi ni wahuni kuliko hata hao wasanii..
 
I second you.

Sisi ni wahuni kuliko hata hao wasanii..

Sometimes naona wasanii wanaonewa sana, kwenye jamii kuna watu ni wahuni hadi shetani anawaogopa! Hata mimi sema nishaacha lol! 😂😂😂😂😂
 
Sometimes naona wasanii wanaonewa sana, kwenye jamii kuna watu ni wahuni hadi shetani anawaogopa! Hata mimi sema nishaacha lol! 

Kuna wasanii nawamezea mate vibaya sana. Sijali uchafu wao kwasababu hata sisi ni wachafu ila tunajificha,.
 
Nimekuelewa mleta uzi. Naogopa ku generalize kuwa wasanii wote bila kuweka takwimu hapa.

Ni kweli baadhi yao wamekuwa wachafu, kuna mmoja ana watoto saba sasa, hajaoa na wala hajajenga. Hii inatueleza kuwa katembea bila condom na wanawake saba ambao tuna vidhibiti.

Yupo dada mmoja ana orodha ya mabwana sita wanaojulikana ukiachilia mbali yale ya kujificha. Sasa ati naye anataka awe mhe...

Suala la kupima ni issue binafsi. Jambo la muhimu ni wewe kujiweka mbali nao. Ni hatari hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…