Mueleweshe mwenzio sasaUongo si kazi wamepelekwa mahakamani kwa kosa la kutumia
Siku zote ndivyo inavyokuwa mmeshapata cha kuzungumza sasaTusibishaje na mateja..wako arosto sana..
Inamaana unaonja kabla ya kuuza wewe ndio tibiesiDaah!
Kwani haiwezekani kuuza na kutumia kwa wakati mmoja..
Kwa mfano msimu uliopita, ilikuwaje?Hata kama timu ni mbovu lakini makocha, wachezaji na mashabiki wa timu ile safari hii roho haziwadundi kwa kuhofia kufungwa na watani zao, maana wanacho cha kusingizia. Subiri uone.
Mwaka jana ilikuwa mto wa kuotea karibu?tunafahamu kuwa tukiwafunga mtaanza kulia na Mh. Madereva badala ya kukiri kuwa Simba sasa ni moto wa kuotea mbali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tusibishaje na mateja..wako arosto sana..