Kama watafungwa na watani zao sababu tayari wanayo

Kama watafungwa na watani zao sababu tayari wanayo

Hata kama timu ni mbovu lakini makocha, wachezaji na mashabiki wa timu ile safari hii roho haziwadundi kwa kuhofia kufungwa na watani zao, maana wanacho cha kusingizia. Subiri uone.
Kwa mfano msimu uliopita, ilikuwaje?
 
Hebu na tarehe 25 ifike mapema tuwashikishe adabu.
 
Wasipojipanga kwa refa kama kawaida yao, lazima walale.
 
Back
Top Bottom