#ILIYOVUJA
Jinsi TISS walivyopanga kuvuruga uchaguzi Dar es Salaam(Kikao cha wasimamizi NIT -Mabibo leo 21.10.2020)
Inasimuliwa na mtu wetu tuliyempenyeza ndani ya NEC
[emoji117]Leo wasimamizi wa uchaguzi mkoa wa Dar es Salaam wote tumekusanywa kwenye HALL ukiingia getini lipo upande wa kulia,tukaamrishwa wote kuzima simu,ikatoe mwenzetu mmoja alikataa kuzimasimu yake na kuuliza kwa nini azime akafukuzwa.
[emoji117]Kuna jamaa(kutoka TISS) akawa anaongoza kikao na alipoanza kuongea cha kwanza akasema sisi ni wazalendo tumepata nafasi ya kipekee kupigiwa simu moja kwa moja kutoka NEC(kumbuka majina ya wasimamizi&makarani yalitoka jana), hivyo tunaenda kusimamia uchaguzi kwa maisha yetu yawe bora kwa miaka 5 ijayo.
[emoji117] Jamaa akasema wasiokua na vyama wanyoshe mikono wakanyoosha watu 4 hapo hapo akawambia wasimame watoke nje, jamaa akafunguka na kuuliza ni nani kati yetu ambaye hajapendezwa na yaliyofanywa na Magufuli kwa miaka 5 iliyopita nani ambae hapendi Magufuli aendelee na mitano tena?Akasema wale waliotoka nje siyo wenzetu tuliobaki humu ni kitu kimoja akasema jamani ccm oyeee Magufuli oyeee Magufuli ng’ara…
[emoji117]Akaendelea sina mengi ya kuongea kuna mgeni ambae ataenda kumaliza kila kitu akaja huyo mgeni akajitambulisha yeye ni Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kinondoni na Kawe(kumbuka pale kulikuwa na watu kutoka kata mbalimbali) akasema yeye ndiye mgombea wa nafasi 3 uraisi ,ubunge na udiwani anaomba tusimwangushe CCMinataka kuchukua dola na haijawahi kushindwa, akapiga CCM oyeee, Magufuli oyeee, Magufuli ng’ara, Tarimba oyeee, Gwajima safiii… Akaendelea kwa kusema sisi ndio tutampa kura, tumeitwa pale kwa kazi maalum kwa kua sisi ni wazalendo hivyo tuhakikishe kwa namna yoyote majimbo yote CCM inapata kura za kutosha, akasema cha muhimu sana kuliko vyote ni siri bila siri mambo hayaendi na hawapo tayari kupoteza mtu kwa kuvujisha siri kwa kua sisi ni wazalendo basi tutatunza siri akasema si huwa mnasikia watu wananyonya mate basi wao wananyonya pia na wakinyonya pua moja kwa moja wananyonya ubongo. Akapiga CCM oyeee, Magufuli oyeee, Magufuli ng’ara, Sasa nini tunatakiwa kufanya kwa kazi maalum tuliyoitiwa kwa uzalendo wetu..
[emoji117]Akaendelea kusema hapa kuna makarani, wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi wa vituo. Tunachotakiwa kufanya tutafungua vituo saa 1 kamili asubuhi pale kwenye vituo tutakuta mawakala wa CCM wameshafika tayari, tutaendelea na taratibu tutawaonyesha wananchi box la kura kwamba liko tupu/halina kitu baada ya hapo tutaanza kupiga kura sisi wasimamizi na makarani halafu watafata mawakala. Hawa mawakala tayari watakua na kura(ambazo zinaandaliwa usiku wa tarehe 27.10.2020 zinapigwa mihuri kila kitu kama kura iliyokamilika) watakapoingia kwenye kituturi(kijumba cha kupigia kura)wakati wanatoka wanaenda kutumbukiza kwenye box la kura mkononi anakua na kura zaidi ya 10 mpaka 20 ama zinaweza kuzidi hapo, ataenda kutumbukiza kwenye box. Hili zoezi linafanyika kwa muda mfupi sana mpaka saa 1.30 linakua limeshakamilika kwa hiyo wao muda huo 1.30 ndio wanafika kwa kuwa vituo vinafunguliwa saa 2 asubuhi, hata kama wakiwahi asubuhi sana lazima utachezwa mchezo ili zoezi likamilike maana tumehakikishiwa ulinzi, tumeambiwa tukiona wakala wa upinzani anajua sana haki basi tunao uwezo wa kumuamrisha askari amtoe nje. Kwa sababu sisi wazalendo wa kazi maalum+mawakala wa ccm+askari ni kitu kimoja.
[emoji117]Akaendelea kusema mfano kituo kina wapiga kura 500 tuhakikishe kura 300 zinaenda CCM, tuhakikishe upinzani hawapati hata nafasi ya kupumulia. Kuna mtu akauliza itakuwaje endapo kura zikizidi kituo kina wapiga kura 500 wote wakapiga kura ukiplus na zile zao 300. Jumla kura zinakua 800 akajibu hilo halina shida kwa sababu hakuna uchaguzi wapiga kura wote wakapiga kura akatoa mfano mwaka 2015 waliojiandikisha kwenye daftari walikua 22M waliopiga kura walikua 8M na hizo zao za magumashi zilikuepo akaendelea kusema na huo ndio ulikua uchaguzi ambao upinzani walikua na kelele sana lakini walifanikiwa kama mtu akiongea sana atapewa fomu ya malalamiko ambapo ikimfikia yeye mchezo unakua umemalizika
JINSI TULIVYOITWA KWENYE KIKAO NIT- MABIBO.
[emoji117]Kwanza kila mtu kapigiwa simu na namba tofauti, wakati wa kuingia unaonyesha namba ya mtu aliyekupigia ndio unaingia ndani . Wakati unapigiwa unaambiwa muda wa kwenda mimi niliambiwa saa 10jioni Ila nilifika pale saa 6.40mchana nikakuta kuna bonge la nyomi , kumbe kuna watu waliambiwa waende saa 1 asubuhi wengine saa 3asb,saa 5asb,saa8 na sisi wa saa 10. Ukiingia ndani unasaini kwenye jina lako alafu unaenda kwenye chumba cha uzalendo.
[emoji117]Haya ndiyo mambo yaliyofanywa na NEC kwa kushirikiana na TISS na iko hivi nchi nzima
Sisi fichuaTanzania yaani tutapenyeza watu kila mahali na kujua kila wanalolipanga na kuja kuwajulisha hapa mjue jinsi mlivyo na serikali ya hovyo.
Mipango yote inasukwa na Bwana Harlod Kagurumjuni pichani. Mawasiliano yake ni 0767124646.