maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana.
Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na Chadema na Lissu,sasa wanapambana na kila mtu anayeitakia mema Tanganyika, yanayokuja yatafurahisha nyoyo zetu na tukiwashuhudia wale waliouwa ndugu zetu wakifikishwa katika mikono ya sheria