Kama watu hawaandikishwi wakiingia lock-up basi ni ngumu kutrace kuhusu akina Ben Saanane, Azory, n.k

Uwepo mfumo wa ki-elektroniki wa kuwasajili, sio watu tu hata makosa waliyyafanya endapo mtu atakamatwa basi hata historia yake inakuwepo.
 
Uwepo mfumo wa ki-elektroniki wa kuwasajili, sio watu tu hata makosa waliyyafanya endapo mtu atakamatwa basi hata historia yake inakuwepo.
Kweli kabisa! Hii ndiyo itakuwa tiba! Kuna ndugu yangu mwaka huu huu alilazwa kalock-up ka pale ubungo Makuburi siku 3 bila kuandikishwa wala kuepelekwa popote kwa sababu tu eti alishuhudia Polisi wakimkamata mtuhumiwa kwa uonevu!
 
Mh mkuu sky, siye wewe unayesifiaga kutwa utawala wa sisiem awamu ya6 humu jamvini?

Leo imekuwaje tena?

Ama nimesahau Avatar!

Nitaomba unisamee ka'niivo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vituo vyote vya polisi vifungwe CCTV camera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…