Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Designed by: Ashadii
Approved by: Lawyer klorokwini
Unpresented approval: all wachakachuzi memberz
Fake witness: Husninyo
Copy reserved entitled: uchakachuzi rules

Ubarikiwe sana Ashadiii, halaf bring back my brain pliiz
 
Haki mungu leo silali nailinda sredi yangu. Atakayejaribu kuichakachua tena namripoti.
 
usiku mwema mwenyewe.
 
umerudi tena wewe. Nitakuripoti sasa hivi.
Mkuu dini zetu zinasema ukichapwa la kulia upeleke na la kushoto, sasa wewe ulitakiwa utuanzishie na sredi nyengine ili kufata maandiko. Jaribu kuwa muumini mzuri mkuu, duniani tunapita tu ohooo.
Husninyo ataweka aya
 
Designed by: Ashadii
Approved by: Lawyer klorokwini
Unpresented approval: all wachakachuzi memberz
Fake witness: Husninyo
Copy reserved entitled: uchakachuzi rules

Ubarikiwe sana Ashadiii, halaf bring back my brain pliiz

Napenda the way upo fast katika fani yako.... Ubarikiwe saana....
Kazi yangu ya pili hapa ni kukushauri it is better we leave uende na
Mrembo Husny (my niece) pale MMU, Kuna jamaa anasema msione
vyaeelea alafu kaanza thread kwa kuchakachua Avatar ya Maty...

Nimerahisisha kazi pale, mwaweza endeleza....lol... Vipi Brain isha rudi tayari???
 
Mkuu dini zetu zinasema ukichapwa la kulia upeleke na la kushoto, sasa wewe ulitakiwa utuanzishie na sredi nyengine ili kufata maandiko. Jaribu kuwa muumini mzuri mkuu, duniani tunapita tu ohooo.
Husninyo ataweka aya

mweleweshe mzee. halafu utanifaa kwenye bendi yangu wewe.
 
Mkuu dini zetu zinasema ukichapwa la kulia upeleke na la kushoto, sasa wewe ulitakiwa utuanzishie na sredi nyengine ili kufata maandiko. Jaribu kuwa muumini mzuri mkuu, duniani tunapita tu ohooo.
Husninyo ataweka aya

mungu wangu. Nishushie nguvu za kuwamudu hawa viumbe wako.
 
Brain imerudi na inafanya kazi vizuri sana baada kuskia uporoto na husninyo wameachana, nishindwe mie tu sasa heheh
acha tuhame kweli bana mzee asje akamtoa mtu busha
 
Mtalaka hatingozwi
Source: unknown
Brain imerudi na inafanya kazi vizuri sana baada kuskia uporoto na husninyo wameachana, nishindwe mie tu sasa heheh
acha tuhame kweli bana mzee asje akamtoa mtu busha
 
Hiyo #1, stupid questions calls for stupid answers
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
 
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
1.Je ww ni wa aina gani? Isiwe na ww unawakera wenzio.
B2
 
Ngoja nikakusanye kuni na kung'oa mihogo ya chai halafu nitarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…