Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

yaani humu kuchakachua ndio mwake mwake. hebu mwamshe mjomba akuje pande hizi.



Mjombako hana ubavu wa kuja hapa.. kafuruliza saana safari, na kazi zimemtinga... Kalala siku nyiiiingi.....lol
 
Hivi unazani JF tukigoma sisi wanaotuita wachakachuzi hakyanani kwa siku nzima JF kutakuwa kunapostiwa post 20 tu tena ule muda wa ofisini. Usiku atabaki invisible na PAW wanaedit sheria tu



Nashukuru umeliona hilo.... lol...
 
hivyo eeh, tena naskia lile bara liliona linabanwa banwa likaamua kusepa kumbe lilienda kuexpaya mbele ya safari.

halafu we mtoto, nimekwambia usichakachue hii topic. Endelea uone.
 
Back
Top Bottom