Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wanakera. Kuna watu kila jambo wanaleta mzaha tu.
Ni client wangu huyu (mimi ni lawyer wake) , nikipandisha jazba basi imekula kwangu. stuka mkuumbona umerudi kumjibu haujampotezea. Au kwakuwa yeye ni jinsia kinzani?
Kama nani Husny??
Kweli wanakera. Kuna watu kila jambo wanaleta mzaha tu.
Huyu memba mpya wa JF katokea wapi? umesalimia jukwaa la introduction wewe?kama klorokwini.
Swahiba,dah... Niko hivyohivyo, ukiuliza na mie nakuuliza, mchonganishi, nA kila kitu najua mimi
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
Huyu memba mpya wa JF katokea wapi? umesalimia jukwaa la introduction wewe?
Karib sana!hodiiiii!
Karib sana!
enhee tukiludi kwenye mada wewe unachukia tabia gani?
feel free kujimwaga, nitakulinda
sasa mie nimekuuliza suali na wewe unajibu suali, ndo maana mzee kakuanzishieni sredi. Omba razianachokichukia mzee mi nitakipendaje?
miafrika ndivyo mlivyo.sasa mie nimekuuliza suali na wewe unajibu suali, ndo maana mzee kakuanzishieni sredi. Omba razi
JumAmosi ntakua huko...Swahiba,
ukiwa na sifa hizi msumbiji, unapewa mke bila mahari
heheh mkuu ubaguzi wenye maslahi unakubalika, ubaguzi haraam ni ule ubaguzi butukumbe hasiza zako zinachagua.