Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

dah... Niko hivyohivyo, ukiuliza na mie nakuuliza, mchonganishi, nA kila kitu najua mimi
 
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.

Hivi kuna watu wenye majungu kama wana sisi emu,naona hao ndio watakuwa wanakukera sana au na wewe ni mmoja wao?
 
dah... Niko hivyohivyo, ukiuliza na mie nakuuliza, mchonganishi, nA kila kitu najua mimi

hongera kwakuwa na sifa zinazonikwaza.
 
Back
Top Bottom