Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Watu kama hawa huwa natamani kuwatandika makofi. Wananikera jamani.
 
Samtaimu tunaongelea maisha kabisa, mtu unampa mchongo unaona anacheka tuu, unamwambia niko serious anauchuna dakika 2 halaf anaanza tena upya.

mimi kusoma tu hapa nimevunjika mbavu mbili na kakipande....sasa sijui ukinipa mchongo itakuwaje.....
 
kwahiyo tayari umeshaanza kumkera. Kuwa makina atakutandika makofi.
 
Hapo wewe utakuwa na chuki kwa kili mTZ
 
...........lol....... Lawyer uko makini wewe.... Khaaa!! Mtu hakudanganyi kabisa... Noamba toa mfano wa mchongo mmoja wapo ambao sio mbaya kuumwaga hapa jamvini... ili nisi buffer....
Niliwahi kumpa mzembe flani mchongo wa kupeleka mawigi ya kinadada nigeria. Yaani huu mchongo unalipa hakuna, jamaa badala ya kuchangamka likawa linachekacheka tu, mzembe nikatimua zangu.
 
mhhh!!!. Ulichukua uamuzi gani ndg.
 
mimi kusoma tu hapa nimevunjika mbavu mbili na kakipande....sasa sijui ukinipa mchongo itakuwaje.....
heheeh na huyu ndo preta bana! akinuna anakuchanganya na akismile basi ndo mara unajikuta unamsalimia kwa kiingereza.
 
Niliwahi kumpa mzembe flani mchongo wa kupeleka mawigi ya kinadada nigeria. Yaani huu mchongo unalipa hakuna, jamaa badala ya kuchangamka likawa linachekacheka tu, mzembe nikatimua zangu.

Klorokwini..... Klorokwini... Klorokwini..... Dah! Nahivi napenda kucheka..... Nimecheka mpaka MACHOZI.... Khaa!!

Nitarudi badae kusikiliza vizuri mchongo ngoja mbavu zangu zipumue.....lol
 
Niliwahi kumpa mzembe flani mchongo wa kupeleka mawigi ya kinadada nigeria. Yaani huu mchongo unalipa hakuna, jamaa badala ya kuchangamka likawa linachekacheka tu, mzembe nikatimua zangu.

Haya basi nimerudi (mind you vere vere serious) Inatakiwa tuwe na mtaji kiasi gani?? lol
 
Nilianza mbele mkuu. Na nimeapa jamaa hata akija na issue nyengine siwez kupoteza muda wangu kumpa advice tena.

oooh! My god! Kuchekacheka kumemkosesha maisha.

Au nawewe ulikuja kimzahamzaha.
 
Utakuta mtu unamuelekeza kitu, anapinga with no criticaly reason. Huwa wananikera sana.
 
Haya basi nimerudi (mind you vere vere serious) Inatakiwa tuwe na mtaji kiasi gani?? lol
US dollar 1000 inakutoa vibaya sana hapa achilia mbali travel cost (hii inategemea uko nchi gani), Na ukitua tu lagos Airport , mawigi yanaanza kununuliwa na wale wafanyakazi wa airport pale, si unajua nigeria wanawake wanachange mawigi kila wakioga.
 
mwanzoni ulicheka jamaa ameshagairi.

Ni dhahiri umfahamu vizuri jamaa... Kwa taarifa yako ndo Lawyer wa JF, vitu kama vicheko sio tatizo hasa kama kuna mchongo wa maana..lol

US dollar 1000 inakutoa vibaya sana hapa achilia mbali travel cost (hii inategemea uko nchi gani), Na ukitua tu lagos Airport , mawigi yanaanza kununuliwa na wale wafanyakazi wa airport pale, si unajua nigeria wanawake wanachange mawigi kila wakioga.

Huu mchongo nimeukubali, kwa hio US dollar 1000 tu ndo inatakiwa nothing else?? Na hio safari unaonaje tupange kabla Christmas haijaja??
 
Back
Top Bottom