Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samtaimu tunaongelea maisha kabisa, mtu unampa mchongo unaona anacheka tuu, unamwambia niko serious anauchuna dakika 2 halaf anaanza tena upya.
Niliwahi kumpa mzembe flani mchongo wa kupeleka mawigi ya kinadada nigeria. Yaani huu mchongo unalipa hakuna, jamaa badala ya kuchangamka likawa linachekacheka tu, mzembe nikatimua zangu............lol....... Lawyer uko makini wewe.... Khaaa!! Mtu hakudanganyi kabisa... Noamba toa mfano wa mchongo mmoja wapo ambao sio mbaya kuumwaga hapa jamvini... ili nisi buffer....
heheeh na huyu ndo preta bana! akinuna anakuchanganya na akismile basi ndo mara unajikuta unamsalimia kwa kiingereza.mimi kusoma tu hapa nimevunjika mbavu mbili na kakipande....sasa sijui ukinipa mchongo itakuwaje.....
Niliwahi kumpa mzembe flani mchongo wa kupeleka mawigi ya kinadada nigeria. Yaani huu mchongo unalipa hakuna, jamaa badala ya kuchangamka likawa linachekacheka tu, mzembe nikatimua zangu.
Nilianza mbele mkuu. Na nimeapa jamaa hata akija na issue nyengine siwez kupoteza muda wangu kumpa advice tena.mhhh!!!. Ulichukua uamuzi gani ndg.
Niliwahi kumpa mzembe flani mchongo wa kupeleka mawigi ya kinadada nigeria. Yaani huu mchongo unalipa hakuna, jamaa badala ya kuchangamka likawa linachekacheka tu, mzembe nikatimua zangu.
heheeh na huyu ndo preta bana! akinuna anakuchanganya na akismile basi ndo mara unajikuta unamsalimia kwa kiingereza.
US dollar 1000 inakutoa vibaya sana hapa achilia mbali travel cost (hii inategemea uko nchi gani), Na ukitua tu lagos Airport , mawigi yanaanza kununuliwa na wale wafanyakazi wa airport pale, si unajua nigeria wanawake wanachange mawigi kila wakioga.Haya basi nimerudi (mind you vere vere serious) Inatakiwa tuwe na mtaji kiasi gani?? lol
Halaf nimezimiss adhabu zako.ha ha....adhabu yako naindaa.....
oooh! My god! Kuchekacheka kumemkosesha maisha.
Au nawewe ulikuja kimzahamzaha.
mwanzoni ulicheka jamaa ameshagairi.
mwanzoni ulicheka jamaa ameshagairi.
US dollar 1000 inakutoa vibaya sana hapa achilia mbali travel cost (hii inategemea uko nchi gani), Na ukitua tu lagos Airport , mawigi yanaanza kununuliwa na wale wafanyakazi wa airport pale, si unajua nigeria wanawake wanachange mawigi kila wakioga.